Habari wadau,
kama kichwa hapo juu kinavyojieleza,
Kuna kiwanja chenye ukubwa tajwa hapo juu (ie 15*20) kinauzwa maeneo ya gongo la mboto(Majohe karibu na soko al maarufu kwa mpemba).
Kiwanja kinauzwa kwa sh 5,000,000 (Negotiable).
Kwa mwenye uhitaji ani PM namba yake tufanye mawasiliano.