Kiungo wa Azam Himid Mao aenda Denmark kufanya majaribio

ipo siku utakufa

Senior Member
Dec 8, 2016
146
530
Kiungo mkabaji wa azam himid mao anaondoka leo nchini kwenda Denmark kufanya majaribio ya siku 12 katika klabu ya randers fc inayoshiriki ligi kuu nchini humo





 
huyu anatakiwa kucheza ligi kuu Ufaransa, Ureno na hata England.Yuko vzr mno kwa sasa
 
Nadhani kachelewa...... illa maisha ni kujaribu. Tunamtakia kila la heri.
 
hii nchi kama huna Chanel utasota sana hata kama una kipaji ndo maana mabashite wengi wapo kwenye system wanainjoi maisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…