"Kitendo cha watu kuwashambulia waandishi wa habari walioalikwa katika tukio hilo hakivumiliki.

Una clip inayoonesha mwandishi akipigwa kwenye tukio la juzi?mwandishi gani akiyepigwa?

Mwandishi yupi aliyeenda kuripoti polisi...umeona PF3 ya mwandishi yoyote?

Clip zote zinaonesha aliyekatwa mguu ni mfuasi wa lipumba ...aliyemkata haoneshwi...kama sio ukanjanja ni nini?
 
'"Tunafatilia mikutano ya kihabari ya Prof. Lipumba na wafuasi wake, tusiporidhishwa na usalama tutachukua hatua zaidi">>[HASHTAG]#JukwaalaWahaririTEF[/HASHTAG]
Endeleeni kuchukua vibahasha vya wafuasi wa Ile CUF ya kigaidi wakifadhiliwa na yule fisadi anayewachinjia mbuzi kila mwaka mpya.
 
Hiyo clip yako sioni sehemu ikionesha muandishi kupigwa sanasana napata picha kuwa hawa waandishi ndio waliowaita askari wa CUF wezi na kupelekewa kushambuliwa na wananchi....@Francis 12
 
Back
Top Bottom