mgoloko
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 4,806
- 3,996
Mkuu nakumbuka miaka saba iliyopita niliwahi kukutana na lissu na nilipoongea naye alitamka hivi nanukuu "sina haja ya kufikiria kuhusu kesi ambazo zinaendeshwa na wanaendesha mashtaka wa polisi (kwa wakati ule) au wa serikali kwa kuwa ni mambumbumbu wa taaluma ya sheria" sasa naanza kuamini huyu mtu hawezekanikiSio swala na Lumumba mkuu. Lissu anakufanya ufikiri vizuri unapokutana nae eneo lake la taaluma. Inabidi iwe hivyo ili vizazi vyetu vipate kurithi kilicho bora. Ngoja nirudie mahojiano hayo