Kipi bora kati ya kufiwa na mpenzi wako unayempenda sana au kuachwa na mpenzi unaempenda sana?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,878
15,458
Niko hapa natafakari haya mambo mawili,ingekua ndio wewe mwana MMU,ungechagua kipi hapo?
 
Kwangu hamna lenye unafuu, lbda kufiwa kwa mbaaaali maana maumivu yake yanaenda baadae utasahau tu na kupata mwngine, kuliko kuachwa na umpendae na ubaya wake kuendelea kumuona akidunda na mtu mwngine.. Aiseee heri afe.!
 
acheni kuuliza ujinga humu...suala la kifo hakuna anayeombea bwege wewe..kama huna cha kutuma humu soma threads za wenzako.we utaombeaje suala la kifo
 
Kama ujawahi kufiwa usiongelee hii kitu ni kama kuuliza kati ya vitz na Landcruiser ni gari gani inauzwa bei kubwa.
 
Akifa hiyo noma maana hawezi kurudi tena... Bora kuachwa maana anaweza akarudi mkaendelea kujenga maisha..!!
 
Mtoa Uzi bwana....hili swali huwa napenda kuwauliza watu sana Ila wanajiumauma ...mi nasema bora AFE, hata km nitaonekana katili ,BUT at least cjawa mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…