Kipato kwenye TEHAMA na taaluma yake hakina ukomo

jikuTech

Member
Apr 9, 2023
97
131
Kwenye ulimwengu wa vitu vinavyo shikika ni ngumu sana kutengeneza jamii yako ambayo wanaweza watu kusikiliza unapo kuwa na jambo lolote la kusema kuhusu wewe jambo ambalo linahusiana na wao kwa manufaa yako binafsi.

Ila kwenye ulimwengu wa TEHAMA ni hakuna mipaka ya kutengeneza jamii kwa namna unayo weza wewe. Unaenda , umetoka au unatamani kujifunza kuhusiana na TEHAMA?

Usife moyo kuhusiana na taaluma hii kwamba haujapata kazi au utapataje pesa.

Watu wengi huona kama walipoteza muda wao kujifunza taaluma hii kwa sababu wanaona ugumu wake wa kupata pesa kama wasipo pata ajira wakati ukweli ni kwamba taaluma hii inapesa ukifanikiwa kuajiajili kwa sababu soko lake halina mipaka.

Ikiwa unaweza kudadisi kupata tatizo ambalo linaweza kutatuliwa na TEHAMA (Jiku Tech Tips inafanya ukufunzi wa maarifa ya kupambanua mambo ili kupata wazo la projects nyingi.)

Basi wewe hadi hapo unakuwa karibu sana na kunufaika kupitia taaluma yako.

Kwa namna gani sasa unaweza kunufaika na TEHAMA, itakuwa ivo pale ambapo utaweza kutengeneza product ambayo inauhalisia wa mtu kupata hamu ya kuitumia kwa sababu inakidhi haja ambayo zingine kama hiyo hazina kama kilichopo kwenye product yako.

Hata ukipata mtu mmoja akapenda product yako basi wapo na wengine ambao wanaweza kupenda sema ni vile kwa muda huo ume mpata mmoja ili uwapate wengi lazima ujifunze kuhusu masoko.

Product yako kunufaishaje?
Unaweza ukauza hiyo product japo mchakato wa kuuza ni mgumu sana kwa sababu unahitaji ushawishi zaidi. Unaweza kuweka matangazo ya makampuni na ukapata pesa hii ni rahisi sana.

Jinsi ya kufanya hivi Tembelea YouTube channel ya Jiku Tech Tips kujifunza kuhusiana na hili

Unaweza kutengeneza biashara yako kwenye hadhira kwa soko lako. Hii ni rahisi pia kwa sababu ni rahisi sana mtu kununua kwa mtu anaye mfahamu

Ufanyaje ili kuanza kunufaika na TEHAMA, Jiku Tech Tips imekuandalia muongozo bure kabisa ambao upo katika Pdf fupi.

Jiku Tech Tips inafanya kazi ya ukufunzi wa kukupiga msasa wewe kuwa Developer wa viwango kulingana na nia yako kwa gharama ndogo ya kununua vitabu vya kujifunzia!
 
Weka link unapotangaza YT channel ili twende kiurahisi, pia video za namna ile ambayo ni picha tu unaongea ni shida kupata views, angalau fanya ka powerpoint presentation fulani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom