Kipanya:Kila mtu siku hizi ni Mchambuzi,Mwandishi Kwenye Mitandao Ya Kijamii.

Kama waandishi wenyewe wameng'ang'ania vibahasha unadhani watu watafanyaje?
Zama zimebadilika, na ndio maana na yeye anatangaza redio binafsi zama zisingebadilika sijui kama angeipata bahati hiyo kule TBCCM.
 
Na kila Tatizo la kutokutii sheria utasikia Tuelimishwe,tuhamasishwe, tupewe elimu ya kutosha,tupewe muda n.k Mi tabia za Kitanzania nazipe da sana kwa kuwa zinakuepusha na Misungo ya mawazo ya kijinga kiiinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…