Kweli kabisa!!! Tungekua tunaumwa kichwa basiKwasababu upendo ni moyo
Chuki pia ipo moyoni
Ikitikea break up kama ulikuwa umependa kweli moyo ndio unaumia sio ubongo
mapenzi yapo kwenye Nafsi...hayapo ubongoni wala moyoni!!Kwenye nafsi ndipo zitokapo hisia.Moyo unaozungumzwa hapo ni ule usionekana siyo hyo organ ya kusukuma damu!!
Asante mkuuu hii kweliKatika mapenzi tunatumia neno moyo kwa sababu moyo una umuhimu sana katika mwili wa binadamu ukisimama basi mtu uhai haupo tena hivyo tunaposema moyo huwa tunajaribu kuonyesha ni jinsi gani upendo ulionao una thamani kwa huyo umpendae...
Askudanganye mtu, its all in your brain...
Kuna connection kubwa sana kati ya ubongo na moyo from biological science point of view, mambo ya blood na oxygen..Kazi ya moyo ni kusukuma damu tu,kazi ya ubongo ni kuongoza mwenendo wa matukio mwilini ikiwemo kufikiri na kufanya maamuzi,kwa nini basi moyo unahusishwa sana na mapenzi?mara utasikia mtu anamwambia mpenzi wake moyo wangu wote nakupa,mara nilikupa moyo wangu ukautupa jalalani, mara sitampa tena mwanaume moyo wangu mara nitakupenda kwa moyo wangu wote nk,kwa nini isiwe nitakupenda kwa ubongo wangu wote,nakupa ubongo wangu nk?
Ingekuwa raha sanaKweli kabisa!!! Tungekua tunaumwa kichwa basi