Na ndio maana unakuta mtu anakonda tu japo haumwi ugonjwa wowote.Halafu kile unachokiumba kinakuwa sumu mbaya kwa afya ya akili yako ambayo nayo eventually inakuja kuleta athari mwilini
Nadhani umemaanisha ELIMU.Darasa huru alihitaji viwango vya helimu hii ni helimu inayojitegemea nimekuelewa Mkuu.
Umenigusa
Yani huendi hata kutembea kidogo muda wote unakuwa ndani tuu?
Na kuwabeba watu kichwani/mawazoni mwakoAsante mshana! leo nilikuwa kanisan. nilishindwa hata kunyanyua kichwa kwa sababu ya huzuni, mawazo niliyokuwa nayo! kuanzia sasa najilazimisha kudahau! hakuna dhambi mbaya kama kukata tamaa!
Na mimi.Umenigusa
Kwenye kila changamoto kuna mlango wa kutokea ukituliza akili unajikuta unapata ufumbuzi bila kuteseka sana ....wazungu wanasema in the darkest hour of life there is always a twinkle of light to lead you throughNinapokutana na changamoto kubwa ambayo inaweza ikateteresha moyo wangu mara nyingi kama so zote huwa nachagua kutulia ama kukaa kimya mahala.
Kisha narudisha kumbukumu nyuma kutafuta changamoto ambazo zimewai kunisumbua sana na kudhani kuwa zilikuwa zinapeleka dunia kufika mwisho.
Nitagundua kuwa changamoto ile llikwisha na maisha yanaendelea.Kwaiyo nitafanya jitihada za kuiona changamoto mpya kama ni ya zamani.
Hili linapelekea akili kutulia kisha njia za kutatua changamoto zinakuja akilini.
Hakika nakuambia huwezi kutatua changamoto ikiwa moyo wako unawaogopa watu ama una msongo wa mawazo.