Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

Its normal. Ni kutoelewa kwa watanzania wengi. Lakini normally ikiingia management mpya popote pale, lazima mkurugenzi (or wheoever) apewe nafasi kupanga timu yake. So you should expect this in most places....Bandari, TRA, Reli, ATC nk...lazima wakurugenzi wengi watapigwa chini....kibaya ni kwamba wengi wakipata hizi nafasi wanajisahau wanashindwa kujua kwamba ni kazi za mkataba!

Tutanyooka tuu.
Ok, kumbe ni kawaida!
 
Kuna habari kuwa wakurugenzi wote wa NSSF wamepigwa chini leo na wanne kati yao wako chini ya ulinzi.

Lo hatari tupu,hivi siku hizi kupokezana vijiti mpaka wengine wasweke lupango? Sijaona shirika la umma,au kampuni ya umma hata serikali yenyewe labda JWTZ isiotolewa madudu toka JPM achukuwe madaraka.
 
Sasa mtu unamweka chini ya ulinzi si kupoteza mda wa kufanya majukumu mengine? Kama mtu kaiba au kahujua apigwe risasi ya bichwa mambo mengne yafuate kuliko kupoteza mda
 
Lo hatari tupu,hivi siku hizi kupokezana vijiti mpaka wengine wasweke lupango? Sijaona shirika la umma,au kampuni ya umma hata serikali yenyewe labda JWTZ isiotolewa madudu toka JPM achukuwe madaraka.
Kule kimya kimya
 
wahojiwe kisawa sawa hao, walimchafua sana Dr Dau, bila kujua kuwa akichafuka Dau na wao hawatakuwa salama kwa maana kama maamuzi ya Dau ni ya kifisadi basi na wao walishiriki kwenye vikao pia
Nimeamini Dau ana watetezi wengi, lakini vumilieni duniani kila mtu na zamu yake zamu ya Dau imeshapita.
 
Back
Top Bottom