Safi sana. Nchi lazima inyooke hii. Watu walijisahau sanaHii habari ni ya kweli, nimepata kutoka vyanzo vya ndani
Ulinyanyaswa na nani kwanini usiseme tu kuwa CCM ilitunyanyasa sana.Watanzania tulinyanyasika sana, acha watiwe jambajamba labda thamani ya mnyonge itarudi
Lini mliwahi kumkosoa Kikwete?Safi sana. Nchi lazima inyooke hii. Watu walijisahau sana
Kwani nani aliipinda?Safi sana. Nchi lazima inyooke hii. Watu walijisahau sana
Hugo ndugu ni MTU wa mkwereFaizafoxy hamkubaligi kabisaa magufuli!why why why
Mkuu stroke, kawaambie hayo wabunge wanaofikia hatua ya kutambulisha nafasi za kuchaguliwa eti ni 'majimbo yao'Watanzania tunasahau kwamba kazi ya uma ni ya kupokezana, hakuna mwenye ajira ya milele, ila sote tupo katika kuhakikisha kwamba taifa linasonga mbele , ndio maana serikali inaweka pesa kwenye elimu, ili watendaji wapatikane...tukiona unakotupeleka siko, unatupisha tunaendelea mbele...