The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,908
- 2,889
Bakhressa Food Production na METL nao watakua kwenye huo mkutano????mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao kwaajili ya kutafakari hatua ya serikali kuzifungia kampuni zao kwa maana hiyo wamewaita wanachama wao wote hali itakayosababisha wateja wao kuikosa huduma yao kwa siku ya kesho
Lake OiL na Home shopping Centre watakuwepo pia. Kweli mwizi haachi hulka.Bakhressa Food Production na METL nao watakua kwenye huo mkutano????
We waache tuNi mtu mjinga pekee atakayejaribu kuichimba kibesi serikali..!!
Kwa kumbukumbu tu, Hii siyo serikali ya Dhaifu Mr kuchekacheka. Atakayeleta fyoko atabomolewa.!! Ujinga wa kuitisha serikali umepitwa na wakati
BACK TANGANYIKA
Kufungua kampuni mpya na kupata sifa zote sio jambo dogoBora tu wafungue makampuni mengine wao sio kama wafanyabiashara wa kawaida kwamba watafunga maduka. Labda hata wale ambao hawakufungiwa wagome otherwise wanapoteza mda
mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao kwaajili ya kutafakari hatua ya serikali kuzifungia kampuni zao kwa maana hiyo wamewaita wanachama wao wote hali itakayosababisha wateja wao kuikosa huduma yao kwa siku ya kesho
Kampeni zishaisha boss...sas hvi watu wanafanya kazi tu..kama foroza wamezngua wachkuliwe hatua za kisheria wakileta fyoko sheria ifate mkondo wako..sas hvi hatuitaji porojo,kampeni mpaka 2020kama wewe ni msukule wa Nape mimi sijui.nachojua ni kwamba lazima ccm hiwape watanzania democracy na kuvitawala mali zao wewe nyang'au mpambe wa kufunga viatu wanaume mimi sijui.
swissme
Hili ni li awamu la kukurupuka kurupuka, magufuli atashindwa very soon, apunguze dharau na kujiona anajua kilakitu, jiulize kipi kilochoshusha mapato mwez january From 1.5 to 1 trillionTutawabomoa kama wanataka kutukwamisha.