Kimenuka jumuiya za kimataifa, Rais Magufuli hasomeki

Ni zipi intreat za nato kwa tanzania ?na zipi intrest za wakomunist kwa tanzania
 
Mhimu kuelewa kuwa hawa jamaa hawawezi kuzuilika kw a lolote lile,. Na hamna upande ulio kwa faida ya MTU mweusi . Any leader not on their control sign death contract.... More player +kazi tu.
 
Msijifurahishe kwa sifa zisizo na maana hakuna nchi itakayo piga hatua ya maendeleo bila mahusiano na nchi nyingine. Mahusiano imara hayawezi kujengwa na wawalishi peke yake. Siasa za kimataifa zinataka nchi kuwa na msimamo lakini usiwe msimamo wa kukaa kimnya bila kuongea na wenzio.
 
Tatizo lugha kule hawaongei kiswahili,jk alipewa miaka kumi kuwa waziri wa mambo ya nje ili ajifunze lugha akaambulia kile anachoungaunga
Acha mawazo ya kikuruta we jamaa!kwa akili yako unafikiri mchina na mrusi wakikutana wanaongea kichina ama kirusi?!lugha sio ishu karne hii wakalimani kibao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…