Ndugu watanzania nimatumaini yangu nyote hamjambo heri ya mwaka mpya!
Nimeona nije hapa kuwambia hali iliyopo Zanzibar si yakawaida ni tete maana inapandikizwa chuki haijawahi kutokea na zanzibar kuna tabaka jingi la kichotara hivyo msije kushangaa kunatokea mauaji ya kikabira na wanaosababisha si wengine ni CCM chonde chonde Rais John P Magufuli tumia mda wako kuzui hili!
Mwalimu Julius Nyerere alisema mkianza kusema sisi ni wazanzibar na wale ni wazanzibara itafika siku mtajikuta hata nyie wazanzibari mabaguana ndo haya leo yantokea CCM wanachochea hizi vurugu!

Mwalimu Julius Nyerere alisema mkianza kusema sisi ni wazanzibar na wale ni wazanzibara itafika siku mtajikuta hata nyie wazanzibari mabaguana
Mkuu ujatoa ya CUF ungetoa na barua yao tungejua nini cha kusema!Chanzo cha mgogoro:
Mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar umesababishwa na mambo mawili:
Usimamizi mbaya wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa mwaka 1995 uliofanywa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar; na
Upotoshaji wa matokeo ya uchaguzi huo.
Vyama vyote viwili, CCM na CUF viliandika barua kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (TUZ) kueleza kutoridhika kwao na uendeshaji wa uchaguzi na kuutangaza uchaguzi kwamba haukuwa huru na haki. Wote walifanya hivyo kabla ya matokeo kutangazwa, wakadai yasitangazwe, na kutamka rasmi kwamba hawatoyatambua yatakapotangazwa. Kwa mfano, CCM katika barua yao yenye kumbukumbu nambari CCM/AKZ/U.30/21 ya tarehe 25 Oktoba, 1995 iliyotiwa saini na Naibu Katibu Mkuu walisema:
"CCM ... is satisfied that the elections were not free and fair hence we do not accept the outcome of the results in these elections. Therefore we demand that the whole of the Zanzibar General Elections be nullified".
Katika kifungu cha mwisho cha barua hiyo, CCM walisema:
"We therefore insist that the results of the Presidential Election not be announced and that the whole alection be nullified and be done afresh in view of the so many irregularities that occurred."
Maneno yanayofanana yameandikwa na vyama vyote viwili kwa Tume ya Uchaguzi. Jee huu hautoshi kuwa ni ushahidi wa uchaguzi kusimamiwa vibaya?
Ni muhimu kuzingatia kwamba barua ya CCM iliandikwa siku moja baada ya Mkurugenzi wa Uchaguzi kuwaita viongozi wa vyama hivyo na kuvikabidhi matokeo yaliyoonesha mgombea wa CUF ameshinda kwa asilimia 51.4 mbele ya mshauri wa mambo ya uchaguzi Mama Judy Thompson kutoka Canada, na matokeo hayo kutangazwa na idhaa ya Televisheni ya DTV usiku ule ule, na gazeti la Majira siku ya pili yake. Barua ya CUF iliandikwa tarehe 24 Oktoba, 1995 kabla ya kupewa matokeo hayo na Mkurugenzi wa Uchaguzi.
Matokeo rasmi ya Uchaguzi yalitolewa na Mwenyekiti wa Tume siku ya tarehe 26 Oktoba, 1995 na kuonesha mgombea wa CCM ameshinda kwa asilimia 50.2.
Hii ndilo chimbuko la mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar. Msingi wake mkubwa ni tume ya uchaguzi. Hii ndiyo Tume ambayo Serikali ya CCM inaing'ang'ania isimamie Uchaguzi Mkuu mwingine. Jee tunadhani lengo lao ni nini?
source: An-nuur Na. 265
Ni vizuri haya yanayotokea leo, Mkwamo yanaiweka CCM bila nguo. CCM ni wizi wa kura na wachakachuaji wa matokeo waliobobea. Hata wale watu waliowatumia kumlainisha Seif kwa miongo 2 sasa wamejitokeza hadaharani na kukiri kuwa Seif ameshinda kila uchaguzi tangia 1995 lakini CCM kupitia ZEC wanampora ushindi wake. Moyo ni mmoja wapo.Chanzo cha mgogoro: