Kim jong un alitaka jeshi kua tayari kwa silaha za nyuklia

Kwan ni mara ya kwanza huyu dgo kuongea kma amevurugwaa?...mara asem ataifuta U.S kwe dunia,mara aseme siku za U.S zinahesanikaaa...yaan as if anampiga bit dada yake wa kambo...
Tushamzoea ndo maana uzi hauna mvutoo
Msameheni bure
 
Hakuna lolote...ni kelele zilezile tu kutoka kwa huyo mwehu.

Yaani hakuna jipya kabisa.

Na usikute walikatuma tena kale kabibi kanakofokaga kwenye tv.



Nimeipenda video hii, imenikumbusha series za Jumong, Dae jong na nyingine nyingi zakikorea.
 
Back
Top Bottom