challebahu maige nim
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 315
- 76
Wataongelea wapi wakati Dreva was lory hawasikilizi
Vipi Wema kilimkuta kitu gani hadi akaikimbia ccm?Hawa ni kati ya vijana wachache walioingia Chadema kwa nguvu kubwa sana. Uwezo wao wa kujenga hoja, kuhoji na kushawishi havikutiliwa shaka hata kidogo. Ilifikia hatua wakaweza hata kuhoji baadhi ya mambo juu ya umakini wa baba yao mkubwa mzee Wassira (a.k.a Tyson).
Binafsi nawakumbuka kipindi kitamu cha Dr. Slaa miaka ya 2010-2013. Kwa mda mfupi waliokaa Chadema waliweza kuiamusha BAWACHA na kuwavutia vijana wengi. Bahati mbaya kupotea kwao kulianza taratibu na ghafla mpaka leo hawasikiki tena wapi walipo, Bawacha imekuwa kama kiini macho na imekosa msisimko kabisa.
Chadema tunaomba mtwambie ni wapi waliko hawa wadada shupavu, je, ni siasa zenu nje ya Dr. Slaa zilizowakwaza, ni usimamizi mbovu ndani ya Bawacha ama ni misuguano ya madaraka kwenye umoja wao wa wanawake? Mie naamini aina hii ya siasa za Chadema si salama kwa watu wengi na hasa wale waliokuwa na ushawishi enzi za kabla ya chama kuuzwa.
Mwana Kotire yuko wapi?
Kwa mawazo hayo hata wajibu wako kwa mwenza wako unatimiza kweli?. Hivi Tanzania ni nchi ya màjuha kiasi hiki? Changamoto za maishi ni nyingi sana lakini akili zinazunguka na miguu tuu.Hawa walikuwa wapiganaji wa kiukweli. Walikuwa wanaongea ya moyoni sio kiusanii. Sasa alipouziwa chama mtu ambaye alikuwa target kwenye vita dhidi ya ufisadi na uchafu wote ndani ya serikali na CCM yake hawa wadada wakawa wamefungwa midomo. Ujue huyu mnunuzi naye alikuwa akisikia jinsi alivyokuwa akishambuliwa. Naye hana amani kuwa na hawa dada. Na bado watakaofikia mwisho hivi karibuni wapo wengine wengi. Tundu Lissu, Mnyika. Kubenea, n.k nao watakatwa miguu sio siku nyingi. Nasikia aliyenunua chama ametaka uchaguzi uwahi kuliko muda wake wa kawaida, hapo ndipo yeye na mafisadi wengine waliotoka CCM watapata nyadhifa za muhimi ndani ya CHADEMA
Nonsense. Unajua vema siasa mbovu zilipo.Hawa ni kati ya vijana wachache walioingia Chadema kwa nguvu kubwa sana. Uwezo wao wa kujenga hoja, kuhoji na kushawishi havikutiliwa shaka hata kidogo. Ilifikia hatua wakaweza hata kuhoji baadhi ya mambo juu ya umakini wa baba yao mkubwa mzee Wassira (a.k.a Tyson).
Binafsi nawakumbuka kipindi kitamu cha Dr. Slaa miaka ya 2010-2013. Kwa mda mfupi waliokaa Chadema waliweza kuiamusha BAWACHA na kuwavutia vijana wengi. Bahati mbaya kupotea kwao kulianza taratibu na ghafla mpaka leo hawasikiki tena wapi walipo, Bawacha imekuwa kama kiini macho na imekosa msisimko kabisa.
Chadema tunaomba mtwambie ni wapi waliko hawa wadada shupavu, je, ni siasa zenu nje ya Dr. Slaa zilizowakwaza, ni usimamizi mbovu ndani ya Bawacha ama ni misuguano ya madaraka kwenye umoja wao wa wanawake? Mie naamini aina hii ya siasa za Chadema si salama kwa watu wengi na hasa wale waliokuwa na ushawishi enzi za kabla ya chama kuuzwa.
Mwana Kotire yuko wapi?
Kwanza tofautisha kati ya BAWACHA na BAVICHA ndo mambo mengine yaendeleeHawa ni kati ya vijana wachache walioingia Chadema kwa nguvu kubwa sana. Uwezo wao wa kujenga hoja, kuhoji na kushawishi havikutiliwa shaka hata kidogo. Ilifikia hatua wakaweza hata kuhoji baadhi ya mambo juu ya umakini wa baba yao mkubwa mzee Wassira (a.k.a Tyson).
Binafsi nawakumbuka kipindi kitamu cha Dr. Slaa miaka ya 2010-2013. Kwa mda mfupi waliokaa Chadema waliweza kuiamusha BAWACHA na kuwavutia vijana wengi. Bahati mbaya kupotea kwao kulianza taratibu na ghafla mpaka leo hawasikiki tena wapi walipo, Bawacha imekuwa kama kiini macho na imekosa msisimko kabisa.
Chadema tunaomba mtwambie ni wapi waliko hawa wadada shupavu, je, ni siasa zenu nje ya Dr. Slaa zilizowakwaza, ni usimamizi mbovu ndani ya Bawacha ama ni misuguano ya madaraka kwenye umoja wao wa wanawake? Mie naamini aina hii ya siasa za Chadema si salama kwa watu wengi na hasa wale waliokuwa na ushawishi enzi za kabla ya chama kuuzwa.
Mwana Kotire yuko wapi?
Ni kuwakosea heshima wale wadada kuanza kuwalinganisha uwezo wao na hekima zao kwa chama na mtu mwingine kama Wema. Unaanzaje kuwalinganisha hawa watu? Unamaanisha mchango wao kwa Chadema ni sawa na Wema kwa CCM? Usitake nikucheke bure.Vipi Wema kilimkuta kitu gani hadi akaikimbia ccm?
Ccm imekuondoa ufahamuNi kuwakosea heshima wale wadada kuanza kuwalinganisha uwezo wao na hekima zao kwa chama na mtu mwingine kama Wema. Unaanzaje kuwalinganisha hawa watu? Unamaanisha mchango wao kwa Chadema ni sawa na Wema kwa CCM? Usitake nikucheke bure.
Utaonaje na haukuhusu?????Nadhani huu umoja wa wanawake wa chadema ungejengwa na WANAWAKE na sio WASICHANA.
Kwa sasa sioni ukuaji wa Bawacha kwani watu wake wengi Sehemu yao ni Bavicha akiwemo mwenyekiti wake(sorry for that).
Bawacha inapaswa kuwa na watu aina Ya Regina Lowassa(Sio lazima yeye aongoze bali ni mfano wake mtu wa aina hiyo.
Nadhani ungesoma post yangu vizuri, sijasema hao uliowataja sio matured enough,nilichosema wengi wao walio humo si sehemu yao wanapaswa kuwa Bavicha.Bawacha iwe na cream ya wa mama ambao wako matured.Kwahiyo katibu mkuu bi grace tandega na mhamasishaji Bi rose kamili hao wote sio Matured enough kuongoza BAWACHA???? U cant be serious
Kwa mawazo hayo hata wajibu wako kwa mwenza wako unatimiza kweli?. Hivi Tanzania ni nchi ya màjuha kiasi hiki? Changamoto za maishi ni nyingi sana lakini akili zinazunguka na miguu tuu.
hawa madada wawili wapo poa ila wapo busy na kazi....hawa jamaa familia yao wana akili sana ni vile tu siasa lazima uwe na propaganda nyingi nadhani ziliwashindaHawa ni kati ya vijana wachache walioingia Chadema kwa nguvu kubwa sana. Uwezo wao wa kujenga hoja, kuhoji na kushawishi havikutiliwa shaka hata kidogo. Ilifikia hatua wakaweza hata kuhoji baadhi ya mambo juu ya umakini wa baba yao mkubwa mzee Wassira (a.k.a Tyson).

Ila kweli.