MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
nakupata mkuu mimi ni mfuasi wa SOCRATE, naamini katika philosophy ya "True knowledge exists in knowing that you know nothing"Jiongeze ufahamu kidogo tu walau ujue kitu kinaitwa multiplier effect.
Kukupa mwanga kidogo serikali ikitaka kujenga barabara kuna ajira za wajenzi, madereva, kuna compansation kwa watakaovunjiwa, kuna mama lishe, n.k. sasa leo hii havipo who suffers?
Kuondolewa kwa seminar, warsha etc hizo hela zimepelekwa wapi?
Kuondolewa kwa sherehe mbali mbali za serikali walikua wananufaika ni pamoja na mamalishe, hotel/guesthouse, bar, bodaboda, taxi etc
Pia soma vicious cycle of poverty utapata elimu nzuri hutauliza tena hayo maswali
Hapa umenena!Asilimia kubwa ya watu walikuwa madalali.Waandishi wa habari hawakuandika tukio bila bahasha ya kaki,Mishahara hewa,Malipo hewa kwa tenda za magumashi.Kwa ufupi mambo yalikuwa hivyo.
Hahaaa, Awamu ya nne watu walizoea kupga sana tukubali. Vilio vya sasa vingi ni kutoka kwa wale waliokiwa wakiamkia, kushinda na kulala kwenye viti virefu.Hata kipindi cha semina elekezi, warsha, kulipana posho bado watu walilalamika maisha magumu, ndio wakataka mabadiliko...
.
Hata USA taifa tajiri kuliko yote duniani bado watu wanalalamika maisha magumu ndio maana wanamtaka Trump....
NB. Maisha magumu ni bahari hayana mwisho.
Hakika.Asiyefanya kazi na asile. Wachape kazi halali waache kulamika wamezoea vya halam vya halali hawaviwezi
nimefanya makusudi ili kila upande utoe maoni bila kuhisi unashutumiwa. Maana kuna watu humu kama tai wanajiandaa kushambulia kwa nguvu kile wasichokipenda hata kama kina faida kwaoUmeandika kwa mtindo wa kutojiamini na unachokisema vile, hupaswi kuhofu umeandika ukweli, watu walizoea vya kunyonga.
Jiongeze ufahamu kidogo tu walau ujue kitu kinaitwa multiplier effect.
Kukupa mwanga kidogo serikali ikitaka kujenga barabara kuna ajira za wajenzi, madereva, kuna compansation kwa watakaovunjiwa, kuna mama lishe, n.k. sasa leo hii havipo who suffers?
Kuondolewa kwa seminar, warsha etc hizo hela zimepelekwa wapi?
Kuondolewa kwa sherehe mbali mbali za serikali walikua wananufaika ni pamoja na mamalishe, hotel/guesthouse, bar, bodaboda, taxi etc
Pia soma vicious cycle of poverty utapata elimu nzuri hutauliza tena hayo maswali
uko sahihi, hiyo ni principle.Asiyefanya kazi na asile. Wachape kazi halali waache kulamika wamezoea vya halam vya halali hawaviwezi
acha dhambi ya ushabiki na ufuasi, toa kilicho katika bongo yako.Safi sana mkuu umemjibu kisomi sana huyo mkurupukaji,mawazo yake kubana matumiz basi ni kuzuia ufisadi na wizi,apanue ubongo wake kidogo