Kilichonikuta jana Bar

Jana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa simu mfukon then nikajifanya kama naongea na mtu kwenye simu kwa sauti kubwa

"HALLOW....ASEEE NDO YEYE MKEO NIMEMUONA HAPA KAKAA NA JAMAA MEZA MOJA HAPA"

basi kilichotokea nilishanga wale warembo wote wametoka mbio tumebaki wanaume tu tunaangaliana

walahi vocha ya kupewa tamuuu
Haya mambo ya kwenye magroup ya whatsapp bwana usilete huku
 
Teh teh teh kweli ule utafiti wa kwamba asilimia kubwa ya watanzania ni mirembe.
 
Ningekuwepo miongoni mwa hao wanaume uliowasababishia wakimbiwe na warembo, hakika kichapo kingekuhusu.
 
Jana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa simu mfukon then nikajifanya kama naongea na mtu kwenye simu kwa sauti kubwa

"HALLOW....ASEEE NDO YEYE MKEO NIMEMUONA HAPA KAKAA NA JAMAA MEZA MOJA HAPA"

basi kilichotokea nilishanga wale warembo wote wametoka mbio tumebaki wanaume tu tunaangaliana

walahi vocha ya kupewa tamuuu

Mbona hii kitu ni ya ITV Mizengwe, au ulikuwa una-test idea ya ITV mizengwe? Sasa ulipowaondoa wale wanawake lengo lako lilikuwa ni lipi?
 
Back
Top Bottom