Tetesi: Kilichompeleka Ole Medeye UDP Chajulikana

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Kuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli muda wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa CHADEMA kuamia UDP ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki.
TUTAKUMBUSHANA MUDA UKIFIKA
==================

MAONI YA WENGINE

 
Hawa watu Wa kupenda maslai hawawezi kuwa katika chama cha upinzani makini ndio maana utawaona wanakimbilia vyama vyao vya kupeana vyeo tu
 
  1. Kuna tetesi ambazo zaweza kuwa kweli mdaa wowote kuwa kilichompeleka Ole Medeye aliyekua mwanachama hai wa Chadema kuamia Udp ni kuchaguliwa Kuwa Mbunge wa Africa Masharik. TUTAKUMBUSHANA MDAA UKIFIKA

Taarifa hizo zina ukweli.Kaona akikaa UKAWA uwezekano haupo kabisa.
Toka ashindwe kupata uspika hana hamu.Lowasa alimlaghai kuwa ana wabunge WAKE NDANI YA CCM watampa kura akajitosa na koti na tai akidhani kuna mamluki wa Lowasa wa CCM walioko bungeni watampa kura.Alitolewa barubaru akaambulia tu kura za UKAWA

Lakini pia kuna taarifa anawinda kuwa mwenyekiti wa UDP ILI ajenge UDP kanda ya ziwa kwa lengo la baadaye akiunganishe UDP na UKAWA ili Lowasa akitaka kugombea 2020 AWE NA NGUVU KANDA YA ziwa hasa usukumani.

Wanataka kuiteka UDP waitumbukize UKAWA
 
Ni muhim mkatambua kuwa na yeye ana familia inamtegemea.....bongo siasa ni kazi
Kila la kheri Medeye......
 
CHADEMA mmemtupa mmeshindwa kumpa hata ujumbe wa kamati kuu mbona Sumaye mmempa au kwa sababu Ole Medeye hana pesa
 
Haya mambo ya vyama vya upinzani kuokotaokota watu hovyo badala ya kuwatengeneza wenyewe yataviangusha sana vyama vya upinzani
 
Hawa watu Wa kupenda maslai hawawezi kuwa katika chama cha upinzani makini ndio maana utawaona wanakimbilia vyama vyao vya kupeana vyeo tu

Ndivyo tulivyo.Kumbuka tulimvyompata mgombea " wetu" wa nafasi ya uraisi kupitia UKAWA.
 

Hivi mzee Lowassa bado ana ndoto tu ya kuwa rais? Nawashauri UKAWA waanze kutafuta mtu atayeuzika 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…