1.Mwendelezo wa kesi ya kamanda Kafulila jana katika mahakama kuu kanda ta Tabora.
Jaji wa mahakama kuu kanda ya Tabora Rumanyika amesema mahakama itatumia kujumulisha matokeo yaliyoko kwenye form namba 21 ambazo zilizo na matokeo ya jimbo zima.
2. Hata hivyo jaji kaelekeza mahakama haitofungua masanduku ili kuhakiki matokeo ambayo ndio ilikuwa hoja ya msingi ya Hasna Mwilima ambaye ndiye aliyetangazwa kuwa mbunge kupitia CCM
3. Mungu anaendelea kututendea haki awajaze uzima wale ote wanakwenda kumalizia kazi nyepesi ya kujumulisha matokeo.
Msiempenda anarudi bungeni,wezi wa Escrow matumbo joto.