Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,468 911,181 May 29, 2017 Thread starter #2 Drink and drive imemweka pabaya nafikiri golf sasa basi
Victoire JF-Expert Member Jul 4, 2008 24,330 57,361 May 29, 2017 #3 Huyu toka aachwe na mkewe ni mabalaa tupu yanamuandama.
Mauza uza JF-Expert Member Jul 24, 2008 2,094 1,366 May 29, 2017 #4 Victoire said: Huyu toka aachwe na mkewe ni mabalaa tupu yanamuandama. Click to expand... Huyu nae atakuja kwenda na stress tu, kuacha na mtu ambae hukumtegemea kunauma sana..
Victoire said: Huyu toka aachwe na mkewe ni mabalaa tupu yanamuandama. Click to expand... Huyu nae atakuja kwenda na stress tu, kuacha na mtu ambae hukumtegemea kunauma sana..
Madame B JF-Expert Member Apr 9, 2012 30,733 34,610 May 29, 2017 #5 leo ndio nimemuona akiwa hajavaa kofia.
exit JF-Expert Member Feb 14, 2013 1,670 1,808 May 30, 2017 #6 Jamaa mtaalam wa kugonga miti na nguzo za road. Yeye always hizo hagongagi gari au mtu barabarani noo.. Duuu.
Jamaa mtaalam wa kugonga miti na nguzo za road. Yeye always hizo hagongagi gari au mtu barabarani noo.. Duuu.
DellaPina JF-Expert Member Jun 19, 2016 1,010 3,464 May 30, 2017 #8 Bernie says:Think Before You drive
M mwasu JF-Expert Member Jul 13, 2011 10,161 11,534 May 30, 2017 #9 Huyu jamaa tangu aumbuke kwa kupata ajali akifuata mchepuko wake hajapaki salama kabisa, sson atazama kwenye unga asipojisalimisha kupata ushauri nasaha, pole zake..
Huyu jamaa tangu aumbuke kwa kupata ajali akifuata mchepuko wake hajapaki salama kabisa, sson atazama kwenye unga asipojisalimisha kupata ushauri nasaha, pole zake..
BigBro JF-Expert Member Jan 9, 2010 3,478 11,030 May 30, 2017 #10 Mwanaume siku zote ni victim mkubwa sana akiachwa na mwanamke ambaye bado yupo moyoni mwake ni wachache wanaoweza ku-handle hali hii
Mwanaume siku zote ni victim mkubwa sana akiachwa na mwanamke ambaye bado yupo moyoni mwake ni wachache wanaoweza ku-handle hali hii