juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
- Thread starter
- #61
Hapa kwanza siongelei mambo ya vyeti,hayanihusu mimi hayo.ninachotaka kujua ni je Magufuli amebana vipi?Km ni hivyo basi kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha uhakiki wa vyeti feki.
Tunahitaji watu wale kwa jasho lao.
Swali kwako.
-Kwann walianzisha zoezi la uhakiki wa vyeti?
-Waliotimuliwa kazi na kushitakiwa kwa sabb ya kufoji vyeti walikuwa hawafanyi kazi?
-Walioanzisha hili zoezi wanafaidika na nn?
*ukiweza kujibu haya maswali basi utakuwa umepata majibu*