Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Hebu tusichoshane aise, kwanza kumbe we ni Juvenile tu. Uzuri ni kwamba hiyo kauli ya kubana haikuanzishwa na wananchi Bali Magu mwenyewe(rejelea speech zake) Hivyo naona bora umuulize ye mwenyewe kwamba aliposema anabana amebana vipi??