haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 954
- 2,156
Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.
Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa.
Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida, kuna muda nawawa naona kama ana zero IQ point vile, mana muda mwingine hata mwaswali anayoniuliza nacheka tu
Wakuu, there is more factors than love on marriage. Be wise.
Hawa wazuri wawe wa pembeni tu, akili iwe ndo kigezo kikubwa.