Kikwete, Magufuli na mtu huyu wa tatu...

Thread fikilishi sanaa. Hapo awali nilisema Hakuna mtu wa Tatu, ila nimewaza sana.... Nimeamua kuunga mkono hoja, mtu wa Tatu yupo.

Tuendelee kumuombea rais wetu, ameamua kujitoa kwa ajiri yetu... vita iliyombele yake ni kubwa sana.

Jaribu kuangalia body language ya Rais wetu, pindi anaposema,... "nimejitoa kwa ajiri yenu naombeni mniombee" Utajifunza kitu.

Thanks The Boss kwa kutufikilisha.
 
Tunasahau haraka tu.

Hata wakati wa mwanzo wa Kikwete bunge lilimtimua Zitto Kabwe sababu ya kuhoji tu Buzwagi imejirudia tu...

Wakati wa Kikwete pia matamko ya kuzuia maandamano na siasa za upinzani yalikuwepo tele, Wakati huu wa Magufuli ni kama marudio tu na kuzidisha kidogo

Ukichunguza utagundua kuna 'mtu wa tatu' ambaye haonekani kwa macho ambaye ndo kama 'mshauri mkuu wa marais wetu'
au 'de facto power behind power'....ambae kila rais lazima 'amsikilize'.

Hata wakati wa Mkapa yalitokea haya hasa la Bunge kubanwa banwa hotuba za wapinzani kufunikwa na media na kadhalika.

Mtu aliewapa wapinzani sauti wala hakuwa Kikwete....alikuwa Samuel Sitta...

na wote tunajua 'alipoishia'.

Tujiulize mbona watu wanabadilika..... mawaziri na marais lakini 'huu mfumo' haubadiliki?

Kila Rais atautetea muungano kwa nguvu zote hata kwa gharama za maisha ya watu.

Kila Rais hataki kabisa demokrasia ya vyama vingi istawi vya kutosha. kila Rais atajaribu kulibana bunge ....tusisahau hawa marais ni watu tofauti wenye utashi tofauti....lakini kuna vitu 'havibadiliki'....

Huyu mtu wa tatu ni nani? au ni kina nani?
Mtu wa tatu ni system ya uongozi.
mfano America Kiongozi wowote yule atakae gombania uraisi lazima aikaubali Israel .

Upinzani ukiwa utakubali Muungano na Serikali mbili basi wata shinda ucahguzi na kupewa serikali.
Maalim Seif kama atakubali muungano huu ulokuwepo wa serikali mbili na kusupport mapinduzi basi atapewa Serikali.
That is the system.
 
Kwa bahati mbaya Marais wetu wote hawakuwa wamejiandaa au kuamini kuwa watakuja kuzipata hizo nafasi, somehow wakaamini ile si kazi kubwa sana. Na bila shaka wakaamini aliyepo madarakani ni Kiongozi mbovu.

Kwa mazingira kama hayo unapopata madaraka mwanzoni unafanya mambo mengi, unapata sifa nyingi lakini baadaye unagundua kumbe kazi ni ngumu zaidi, unaweza kupoteza hata kile kidogo ulichonacho. Hapo ndipo ruling class wanapoingia "kumwonyesha" Mkuu namna ya kuzima wapiga kelele wasiharibu mambo.
Kuna watu wengi mpaka leo hatujuwi kwann watu waliokuwa kwenye system hawamtaki lowassa katika watu waluokuwa hawataki hii kitu so kuna Mambo vip mengi sana ambayo sisi vijana hatujuw kipi. Na kwann watu wanatumia nguvu kubwa kumkataa lowassa kwa mfano leo ukiwauliza kikundi cha vijana wa ccm wapenda madaraka kwann wanampinga lowassa watakwambia mwizi. Fisadi lakin kwenye dunia ya sasa watu wanataka picha halisi lakin wambie hao watu walete picha hakuna anayejuwa ilifika wakat wapenda madaraka hao wapo kuwa wangechoma vyeti vyao kama lowassa angepata kuwa rais pia hao mnaosema mtu wa tatu hawamtaki sababu wanajuwa ufalme wao utaisha Na mambo yao yatawekwa uchi hivo vijana wenzangu. Msishangilie rangi ya jezi hatar inakuja
 
Well explained
Serikali nyingi zinaendeshwa kishetani so mtu wa tatu wanamjua wao tu.

We si ulimsikia Obama kuwa nikiingia tu nafunga Guantanamo but now anaondoka bado ipo!!

Watu wanasemaga kuwa all the presidents are puppets of someone"..."

Wanakuwaga pale kama mapazia na nivitu vichache ndio wanaweza kuvisemea.
Kwani Magu ameishiaje na wafanyabiashara wa SUKARI?? Hivi iligaiwa ile?? Elekezi ikatoka 1800 mpk 2200.

Kuna watu ni zaidi ya Rais they r just there to control stuff.

Kama ambavyo Kennedy hawakukubaliana na mambo yake jinsi anavyoongoza wakamtungua..

So I dnt think ni mtu Bali ni kundi LA watu.
 
Tunasahau haraka tu.

Hata wakati wa mwanzo wa Kikwete bunge lilimtimua Zitto Kabwe sababu ya kuhoji tu Buzwagi imejirudia tu...

Wakati wa Kikwete pia matamko ya kuzuia maandamano na siasa za upinzani yalikuwepo tele, Wakati huu wa Magufuli ni kama marudio tu na kuzidisha kidogo

Ukichunguza utagundua kuna 'mtu wa tatu' ambaye haonekani kwa macho ambaye ndo kama 'mshauri mkuu wa marais wetu'
au 'de facto power behind power'....ambae kila rais lazima 'amsikilize'.

Hata wakati wa Mkapa yalitokea haya hasa la Bunge kubanwa banwa hotuba za wapinzani kufunikwa na media na kadhalika.

Mtu aliewapa wapinzani sauti wala hakuwa Kikwete....alikuwa Samuel Sitta...

na wote tunajua 'alipoishia'.

Tujiulize mbona watu wanabadilika..... mawaziri na marais lakini 'huu mfumo' haubadiliki?

Kila Rais atautetea muungano kwa nguvu zote hata kwa gharama za maisha ya watu.

Kila Rais hataki kabisa demokrasia ya vyama vingi istawi vya kutosha. kila Rais atajaribu kulibana bunge ....tusisahau hawa marais ni watu tofauti wenye utashi tofauti....lakini kuna vitu 'havibadiliki'....

Huyu mtu wa tatu ni nani? au ni kina nani?
Mtu wa tatu ni huyu
JWTZ
Big countries like US,UK

hawa ndo waamuz
 
Serikali nyingi zinaendeshwa kishetani so mtu wa tatu wanamjua wao tu.

We si ulimsikia Obama kuwa nikiingia tu nafunga Guantanamo but now anaondoka bado ipo!!

Watu wanasemaga kuwa all the presidents are puppets of someone"..."

Wanakuwaga pale kama mapazia na nivitu vichache ndio wanaweza kuvisemea.
Kwani Magu ameishiaje na wafanyabiashara wa SUKARI?? Hivi iligaiwa ile?? Elekezi ikatoka 1800 mpk 2200.

Kuna watu ni zaidi ya Rais they r just there to control stuff.

Kama ambavyo Kennedy hawakukubaliana na mambo yake jinsi anavyoongoza wakamtungua..

So I dnt think ni mtu Bali ni kundi LA watu.
Si hata biden anataka kufunga Guantanamo

Tuone kama atafanikiwa.
 
Kwa bahati mbaya Marais wetu wote hawakuwa wamejiandaa au kuamini kuwa watakuja kuzipata hizo nafasi, somehow wakaamini ile si kazi kubwa sana. Na bila shaka wakaamini aliyepo madarakani ni Kiongozi mbovu.

Kwa mazingira kama hayo unapopata madaraka mwanzoni unafanya mambo mengi, unapata sifa nyingi lakini baadaye unagundua kumbe kazi ni ngumu zaidi, unaweza kupoteza hata kile kidogo ulichonacho. Hapo ndipo ruling class wanapoingia "kumwonyesha" Mkuu namna ya kuzima wapiga kelele wasiharibu mambo.
Anaanza vyema

Kumbe Magufuli alikuwa sahihi kulalama kuwa kazi hii ni ngumu.
 
Au ndio maana nchi zingine akiingia raisi wa upinzani anakuwa na maakili yale yale mabovu hata kukatilia madarakani.
 
Nahisi ni 'ule mkataba' wanausaini, kabla ya kuapishwa, wa kukubali majukumu ya uraisi.
 
Back
Top Bottom