Mwalimu Ntuntu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 308
- 285
Naitaka Mbingu kama kuna mwenyejiHapa naweka kambi kabisa
Naitaka Mbingu kama kuna mwenyejiHapa naweka kambi kabisa
Mwenyeji huko??? Natafuta connection ya makazi kabisa ya kudumuMbingu pkuna ndizi sana kule. Moja ya sehemu yenye hali ya hewa na ardhi nzuri sana
Hapana. Nimewahi piga mishe za kilimo kitambo kidogo hukoMwenyeji huko??? Natafuta connection ya makazi kabisa ya kudumu
Hivi kuchukua mkopo kwa ajili ya kilimo sio kamari kweli?Kama uhakika wa mavuno upo, unaweza kutafuta mkopo ili kulima kwa eneo kubwa zaidi
Kwa kutegemea kilimo cha mvua ni hatari, ingawa wapo wanao kopa; kila kitu kina risk, tukiziogopa ni vigumu kutimiza lengo.Hivi kuchukua mkopo kwa ajili ya kilimo sio kamari kweli?
Ni kweli nimesema hivo mi mwenyewe nina wazo hilo ila nikikumbuka mambo ya mikopo Dah! Naishiwa pose. Natamani sana kulima this year, shamba ninalo tena very Virgin and fertile shida ni mtaji tu.Kwa kutegemea kilimo cha mvua ni hatari, ingawa wapo wanao kopa; kila kitu kina risk, tukiziogopa ni vigumu kutimiza lengo.
Itabidi niendee hicho kijiji, Jina la kijiji tafadhali.Hawa Wanyarwanda Kijiji chao kiko Umbali mrefu sana KM 142 toka Mpanda Mjini na hawajachanganyika na Wenyeji yaani Wabende. Ngumu sana kwako Mgeni kutoboa ukionyesha umeenda kutafuta binti zao.
Tutakutana huko mkuu😁Acha kunionea wivu mdogo wako lazima nitie maguu hapa najifunza kuongea kama msabato natafuta na still za mtumba zenye mpasuo nyuma lazima nilambe dume
Ukienda kwa gia ya kusambaza vijarida vya dini yao au fursa za masomo Abroad utawapata otherwise huwapati. Wako well trained kuepuka wageni. Kwa kifupi ni Nchi ndani ya Nchi na Wako mwinukoni juuu. Tangu unatokea mjini 10Km washaona gari ileeee inakuja Kijijini si ajabu washajua unafuata nini. Kijiji cha MWESE raha sana🤣🤣Itabidi niendee hicho kijiji, Jina la kijiji tafadhali.
Sawa sawa, kingine cha muhimu kama nyongeza, labda🤗Ukienda kwa gia ya kusambaza vijarida vya dini yao au fursa za masomo Abroad utawapata otherwise huwapati. Wako well trained kuepuka wageni. Kwa kifupi ni Nchi ndani ya Nchi na Wako mwinukoni juuu. Tangu unatokea mjini 10Km washaona gari ileeee inakuja Kijijini si ajabu washajua unafuata nini. Kijiji cha MWESE raha sana🤣🤣
Kwanini waishi nchini kwetu? Je serikali inawatambua kama raia wa nchi gani? Mbona kama ni hatari pia kiusalama?Ukienda kwa gia ya kusambaza vijarida vya dini yao au fursa za masomo Abroad utawapata otherwise huwapati. Wako well trained kuepuka wageni. Kwa kifupi ni Nchi ndani ya Nchi na Wako mwinukoni juuu. Tangu unatokea mjini 10Km washaona gari ileeee inakuja Kijijini si ajabu washajua unafuata nini. Kijiji cha MWESE raha sana
Tupeane koneksheni ikipatikana mkuukama upo wilaya ya Tanganyila ni PM please,,
Nikodishie Mimi mkuu🤔Ni kweli nimesema hivo mi mwenyewe nina wazo hilo ila nikikumbuka mambo ya mikopo Dah! Naishiwa pose. Natamani sana kulima this year, shamba ninalo tena very Virgin and fertile shida ni mtaji tu.
Mafanikio yalikuwaje?Hapana. Nimewahi piga mishe za kilimo kitambo kidogo huko
Liko wapi?Ni kweli nimesema hivo mi mwenyewe nina wazo hilo ila nikikumbuka mambo ya mikopo Dah! Naishiwa pose. Natamani sana kulima this year, shamba ninalo tena very Virgin and fertile shida ni mtaji tu.
Watakuja kuwa kama Crimea?😅😅😅Kwanini waishi nchini kwetu? Je serikali inawatambua kama raia wa nchi gani? Mbona kama ni hatari pia kiusalama?