Kigugumizi

kibunange

Senior Member
Feb 18, 2015
165
148
Habari za jioni waungwana!?

Hivi mtu alieishi na mwanamke miaka mitano, wana watoto wawili wakubwa, wanabariki ndoa yao nao poa kuna haja ya kuwachangi!? Michango inatia kizunguzungu sasa.

Asanteni...
 
Hebu na Wewe fikiria ungekuwa ndiyo umevaa ' Viatu ' vya hao ' uliowananga ' na unaambiwa hivi ungejisikiaje Mkuu?
 
Habari za jioni waungwana!?

Hivi mtu alieishi na mwanamke miaka mitano, wana watoto wawili wakubwa, wanabariki ndoa yao nao poa kuna haja ya kuwachangi!? Michango inatia kizunguzungu sasa.

Asanteni...

Hapo lazima mwanamke kalazimisha wafanye kasherehe.. ...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…