Kigogo Richmond aibwaga serikali kortini, ndo naelewa kwanini Mwakyembe/CCM hawaendi mahakamani

Lowasa alitaka kutuletea mvua ya kutengeneza ha ha.. Shinawatra akapinduliwa, ikatuokoa
 
Kwahio nyie chadema mnakubali kuwa Richmond haikuwa tatizo????

Maana naona mnakula matapishi yenu wakatu nyie ndio mlishinikiza hatua zichukuliwe dhidi ya wote waliosababisha....pia mlishinikiza Lowasa awajibike kisiasa...leo mbona mmekuwa vigeugeu????
Usichanganye mada hapa kishabiki na kisiasa!
1. Kuna Richmond ambayo kila mtu anaona kuna dalili za ukiukwaji wa sheria; na
2. Kuna nani muhusika wa Richmond; ni Lowassa au Kikwete?

Sasa angehojiwa Lowassa angesema nani ni muhusika! Bahati mbaya mpaka leo serikali ya CCM haitaki na wala haina mpango wa kumuhoji ili muhusika afikishwe kwenye vyombo vya sheria apate haki yake!!!
 
Kwa wanasheria aina ya Mwakyembe kuna kushinda kesi hapo?Mwakyembe na ushahidi wake yupo wapi?
 
Back
Top Bottom