we are the inner
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 692
- 1,704
Huwa mara nyingi nacheka sana mtu akinitishia kuwa siku nikifa ndiyo mwisho wa kiburi changu cha uzima. Jibu langu ni moja tu, hakuna kifo kibaya kama ujinga maana umeshakufa na umebaki mwili unazunguka tu duniani. Mtu asiye na maarifa hana tofauti na mzoga.
Wajinga ndiyo huwa wanakufa maana hawajui wao ni nini, ni wapuuzi wanaotaka kuingia peponi lakini wanakemea kifo (roho ya mauti), sasa utaingia vipi huko?
Kifo ni utimilifu wa utu, wakati mzunguko ukiendelea. Mtu anayekutishia kifo ni mpumbavu wa viwango vya juu sana, usimpe hata dakika ya muda wako. Kiukweli ni kwamba kinachoitwa kifo wala
👉HAKIPO👈
tambua Kifo ni hali ya wewe kuuacha mwili na kuendelea na safari yako katika hali ya roho. Huendi mbinguni wala motoni acha kuogopa hadithi za kijinga zilizobuniwa kushika fahamu za watu ili watutawale kirahisi.
hivo Ukija na hii ngano ujue mafuta yakula utayakuta kwangu ntakukangia chapati kibao,utakula nazingine utabeba kwako. kifupi nitakufurahisha.
lazima ujue kwamba upuuzi unamwanzo na mwisho nilishakuwa huko utumwani tena kwa viwango vya juu sana. Nipo huru, siabudu chochote, sina hofu wala siogopi chochote.
🙏🙏🙏🙏🙏
kama umepata wasaa wakusoma hii chakula yaleo Asili ikubariki sana.