Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,791
- 31,803
Je CCM ilishinda uchaguzi wa tarehe 25.10.2015?Aliyesema CCM imeshindwa Uchaguzi Zanzibar ni nani na kwa mamlaka gani...hivi ukiitwa mchochezi utasema unaonewa?Tuchunge kauli zetu hata kama tunatawaliwa na itikadi zetu!
Makala yako umeiharibu hapo chini tu...
Msamehe huyo hajui alisemalo, hajui kama CCM haishindwi na haitashindwa kwa vipande vya karatasi. Maisha ni ushindi tena wa vishindo tu labda Ma-Jecha wasiwepo. CCM mbele kwa mbeleAliyesema CCM imeshindwa Uchaguzi Zanzibar ni nani na kwa mamlaka gani...hivi ukiitwa mchochezi utasema unaonewa?Tuchunge kauli zetu hata kama tunatawaliwa na itikadi zetu!
Makala yako umeiharibu hapo chini tu...
Rejea swali langu ulijibu acha ngonjera!Je CCM ilishinda uchaguzi wa tarehe 25.10.2015?
Jecha ana uwezo wa kuchelewesha kutangaza ushindi wa CCM?
Kwa nini Jecha alipata kigugumizi kumalizia kutangaza matokeo ya uchaguzi ambayo yalishatangazwa majimboni?
Kwa nini Jecha alitangaza majimbo 31 tu?
Je unaelewa Jecha hana mamlaka ya kufuta au kutengua matokeo baada ya kwishayatangaza?
Unaelewa kuwa baada ya kutangazwa matokeo ni mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kufuta/kutengua matokeo ya uchaguzi na kuamrisha kurudiwa kwa uchaguzi?
Link Rais Magufuli akutana na Mzee Mkapa!
Fungus link hii linganisha na matokeo ya majimbo 31 yaliyotangzwa na tume DIASPORA.pdf - Documents - Online Powerpoint Presentation and Document Sharing - DocFoc.comAliyesema CCM imeshindwa Uchaguzi Zanzibar ni nani na kwa mamlaka gani...hivi ukiitwa mchochezi utasema unaonewa?Tuchunge kauli zetu hata kama tunatawaliwa na itikadi zetu!
Makala yako umeiharibu hapo chini tu...
Fungua link hii linganisha na matokeo ya majimbo 31 yaliyotangzwa na tume DIASPORA.pdf - Documents - Online Powerpoint Presentation and Document Sharing - DocFoc.com
Waache waendelee kuficha haya maradhi kifo soon kitawaumbuaNimekuta katika "archives" zangu picha hizi za kampeni ya uchaguzi wa mwaka 2010 kutoka Mji Mkongwe. Mabango mawili ya juu kushoto linamuonyesha mgombea wa CUF Ismail Jussa na pembeni kuna bango la marehemu Nassor Mughery na chini Simai Mohammed Said. Mbele ya mabango hayo amesimama mwandishi. Sote tuliokuwa katika picha hiyo hapo juu ni Watanzania lakini...
Mabango ya kampeni Uchaguzi Mkuu Mji Mkongwe Zanzibar 2015
Nimeileta "lakini," kwa sababu moja tu nayo ni kuwa ikiwa fikra zako zimeathirika na siasa za ubaguzi wa rangi utamwaona mwandishi ni "Mwafrika," na hao waliokuwa nyuma yake ni ''Machotara.''
Bango la ''Machotara''
Bango la CUF
Mwandishi muonekano wa rangi yake kwa hakika ni "nyeusi," na hao nduguze nyuma yake kwa muonekano wao ni "weupe."
Tunakabiliwa na siasa za kibaguzi.
Kuna swali litafuatilia hapa kwa upande wa CCM.
Ikiwa chama hicho hakitaki "Machotara," imekuwaje akina Mughery wakafikia hadi ngazi ya kuaminiwa kuwa wagombea wa uongozi katika Zanzibar ilhali hawa si katika ''wao?''
Lakini ni kweli kuwa hawa akina Mughery na Said si Waafrika?
Jibu linalokuja kwa haraka ni kuwa hapana.
Bango la Dr. Shein na Maalim Seif
Hawa ni Waafrika kwa kuwa wana damu za Waafrika kutoka upande wa bibi zao nenda nyuma vizazi na vizazi kutoka makabila tofauti yaliyokuwa Zanzibar karne kwa karne kuanzia Wamanyema hadi Wanyamwezi.
Swali lingine litakuja.
Sasa imekuwaje haya yakaingizwa katika siasa za Tanzania?
Wazanzibari
Mtu aliyekuwa katika taharuki hurukwa na akili na akafanya maamuzi mabaya.
Inawezekana taharuki ya kushindwa uchaguzi Zanzibar umeifanya CCM Zanzibar ipoteze kwa muda uwezo wa kutafakari na hii ndiyo ikawa sababu ya wao kutoa kauli ambazo kwa hakika zimefedhehesha Tanzania kama nchi.
Msemaji Ukweli,Tatizo la Zanzibar siyo CCM au CUF.
Tatizo la Zanzibar ni matunda ya historia.
Tuliona hata Watanganyika wakibaguliwa na kuchomewa nyumba zao huku wakiambiwa waondoke Zanzibar.
Watanganyika walipobaguliwa hatukusikia sauti kama hizi zikipiga kelele.
Maelezo zaidi kuhusu kubaguliwa Watanganyika yako kwenye thread/mada hii,
JECHA AMTANGAZE MAALIM SEIFU KUWA NI MSHINDIAliyesema CCM imeshindwa Uchaguzi Zanzibar ni nani na kwa mamlaka gani...hivi ukiitwa mchochezi utasema unaonewa?Tuchunge kauli zetu hata kama tunatawaliwa na itikadi zetu!
Makala yako umeiharibu hapo chini tu...
Aliyesema CCM imeshindwa Uchaguzi Zanzibar ni nani na kwa mamlaka gani...hivi ukiitwa mchochezi utasema unaonewa?Tuchunge kauli zetu hata kama tunatawaliwa na itikadi zetu!
Makala yako umeiharibu hapo chini tu...
CCM INATUCHUKIA SANA SISI WATU WA KASKAZINI..huku Tanganyika kumezuka siasa za kikabila na kikanda.
..walengwa wakubwa wa siasa hizo chafu za ccm ni wenyeji wa kilimanjaro na arusha.
cc Mohamed Said