Kibonde Clouds fm: Ni hoja ya kitoto kukataa Lissu asigombee TLS

Nawaza vipi kama anayewania nafasi hiyo na asiyetakiwa akitangaza kuhamia chama fulani leo itakuwaje. Huu mvutano utaendelea au utaisha?
Kuna haja ya kumpenda mtu aliyekuzidi maarifa pia ili tujifunze kwake kuliko hoja zinazoibuliwa sasa
 
Wamuache tu agombee. Akishinda na akaonyesha kuvuka mstari si anawajibishwa? Kibonde is right.
 
Yani hizi "purukushani" na "kukurukakara" za kumzuia Lissu asiwe rais wa TLS ukiona mtu hashangazwi nazo na anazifurahia ujue huyo ni zaidi ya punguani!

Kama hata TLS unaogopa isiongozwe na mtu mwenye imani ya chama pinzani hivi hata uchaguzi mkuu wa nchi wakishinda wapinzani utawaachia nchi kweli??
 
Wakizungumzia sakata la kufunguliwa kesi mbili zilizofunguliwa Dodoma na Dar-es-salaam kukataa uchaguzi usiendelee, Kibonde amesema ni hoja ya kitoto.

Wanasema taaluma zipo tofauti tofauti kama vile CWT, Udaktari nk kama leo ukiwakatalia watu wenye taaluma zao wasigombee kwa sababu ni wanachama wa CHADEMA ni utoto.

Serikali kukataa Tundu Lisu asigombee ni utoto, aachwe agombee.
Unajifanya husikilizagi kumbe unasikilizaga, ungejuaje hizo habari.
 
Back
Top Bottom