B Barakaeli174 Senior Member Aug 2, 2015 171 142 Mar 5, 2017 #1 Dada zangu hiki kiatu kimetoka kiwandani Ijumaa ya juzi karibuni mniungishe bei ya jumla ni sh 19,500 na rejareja sh 24,000. Namba zilizopo ni 34-40 haipungui karibuni mniungishe
Dada zangu hiki kiatu kimetoka kiwandani Ijumaa ya juzi karibuni mniungishe bei ya jumla ni sh 19,500 na rejareja sh 24,000. Namba zilizopo ni 34-40 haipungui karibuni mniungishe
chiqutitta JF-Expert Member Nov 13, 2015 1,160 3,124 Mar 6, 2017 #4 Kwa kupenda mambo ya fashion tutavaa tu
Abbassalum JF-Expert Member Dec 11, 2016 338 176 Mar 6, 2017 #5 Hmmm! Ukimtokea demu kwenye giza usiku, alafu uangalie chini umkute kavaa ivyo viatu unazimia, utajua nimetongoza jini
Hmmm! Ukimtokea demu kwenye giza usiku, alafu uangalie chini umkute kavaa ivyo viatu unazimia, utajua nimetongoza jini
Candyscorpion JF-Expert Member Dec 29, 2015 763 780 Mar 6, 2017 #6 Abbassalum said: Hmmm! Ukimtokea demu kwenye giza usiku, alafu uangalie chini umkute kavaa ivyo viatu unazimia, utajua nimetongoza jini Click to expand...
Abbassalum said: Hmmm! Ukimtokea demu kwenye giza usiku, alafu uangalie chini umkute kavaa ivyo viatu unazimia, utajua nimetongoza jini Click to expand...
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 67,938 162,132 Mar 6, 2017 #7 chiqutitta said: Kwa kupenda mambo ya fashion tutavaa tu Click to expand... Hasa wewe utatokelezea je!!!!
chiqutitta said: Kwa kupenda mambo ya fashion tutavaa tu Click to expand... Hasa wewe utatokelezea je!!!!
Mehek JF-Expert Member Feb 26, 2017 7,473 10,425 Mar 20, 2017 #9 Walio wasiopenda wasipitwe na kitu hicho kinawafaaa