Sasa kama ulifahamu maamuzi yako mahakamani, kwa nini ulianza kusema fulani ni messanger, yule ni mla rushwa na mwingine ni mtoa rushwa wakati hata mashitaka huyafahamu achilia mbali hukumu?
Ndiyo maana kwenye Comment yangu ya kwanza ambayo ume-quote niliongelea tu kuhusu washitakiwa kukaa mahabusu kwa muda mrefu na sikutaka kuzungumzia nani ana makosa kwa sababu sikutaka kuingia kwenye kazi ya mahakama.
Huko nyuma haikuweza kudhaniwa kama ndugu wa karibu wa Edward Lowassa angeweza kukaa mahabusu hata kwa siku moja achilia mbali zaidi ya mwezi mmoja.
Ndugu wa karibu wa Lowassa kukaa mahabusu kwa zaidi ya mwezi mmoja ni uthilifu/uchungu/aibu kwa Lowassa ambaye siyo muda mrefu alikuwa ni taasisi ndani ya taasisi ya CCM.
Sio kila mwanachama waaminifu yupo kwa ajili ya chama au wananchi. Wengi wa viongozi wa tanzania ni Opportunism na hawajali itikadi ya chama wala wananchi. Nitakupa mfano mnzuri sana wa Babu yetu Lowassa ni Opportunism alikwenda chadema kwa manufaa yake mwenyewe na sio kwa sababu alitaka mageuzi.Sioi sumari ni mwana CCM mwaminifu aliwahi kugombea uchaguzi jimbo la Arumelu na kushindwa vibaya na Dogo janja wa CHADEMA
Ni mara chache sana jamhuri imeshinda kesi za aina hii .Ukizingatia Rais kaagiza kuwa Ofisi ya DPP ijipange.sijuwi kama haki itatendeka.
Tulia huu mchezo hauhitaji hasiraHii ni ndogo sana kama tunafuatilia vizuri kuna ya lugumi inakuja ya b 37 hii ni b 13 tu,endeleeni kuchekelea kila goti litapigwa ni wakati tu haujafika
unajua maana ya messenger wewe mchaga? kama dalali hakufikisha mzio wote aliotakiwa kuufikisha kwa wahusika alijimegea mzigo kitapeli kinyume cha sharia lazima awajibike...hawa watu ni wezi lazima wafungweHapo hakuna aliyekutwa na mali sababu mpokea alipokea na mtoa alitoa. Sasa messenger keshafikisha mali kwa wahusika inakuwaje awe ndo mla rushwa. Think mkuu panua kichwa hicho acha kushabikia ujinga hawa jamaa wanaimaliza hii nchi ajili ya makosa yetu wananchi kushangilia ujinga.
A cha kichekesho hata ningekuwa Mimi nisingeacha muajiri wangu asipate biasharak wa kukuonea huruma we we. Hata Buyer Beware haimlaumu muuzaji bali mnunuaji.Wakati kana piga deal kaliwaonea huruma walipa kodi?
Zile zama za ''HUNIFAHAMU MIMI NI NANI'' zimeisha!
Kwa sasa hata Mahakimu au Majaji lazima wafikiri mara tatu kabla ya kutoa uamuzi ambao kesho wanaweza wakajikuta wanasimama kwenye mahakama ya mafisadi.
Edward Lowassa wakati akiwa CCM alikuwa zaidi ya taasisi lakini kwa sasa umekuwa kama samaki aliyetolewa ndani ya maji.
Miaka ya nyuma haikuweza kuingia akilini kama Nyumba ya Kaka yake na Edward Lowassa inaweza kuvunjwa kwa sababu imejengwa kinyume cha sheria kwenye njia ya kupitishia maji.
Miaka ya nyuma haikuweza kuingia akilini kama mme wa mtoto wa Edward Lowassa anaweza kuwekwa gerezani/mahabusu kwa siku hata moja.
Ama kweli money is not everything!
unajua maana ya messenger wewe mchaga? kama dalali hakufikisha mzio wote aliotakiwa kuufikisha kwa wahusika alijimegea mzigo kitapeli kinyume cha sharia lazima awajibike...hawa watu ni wezi lazima wafungwe
Kuna msemo unaosema, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Ha majaji nao si bure tu? Ktk sakata la Eecrow wawili wao walipewa milungula yw mabilioni na mfanyabiashara mmoja bila shaka wagawane - hasa wale waliohusika kufanikisha wizi ule.
Hadi leo hakuna tume ya kijaji iliyoundwa kuwachunguza. Duh!
Mkuu mkamatwa na ngozi ndio mwivi imeka poa zaidi.Umesahau ule Msemo unaosema Anayekutwa na Mali ya wizi ndio mwizi mwenyewe!!
Sasa hivi ni zama za TUTAFAHAMIANA! !Zile zama za ''HUNIFAHAMU MIMI NI NANI'' zimeisha!
Kwa sasa hata Mahakimu au Majaji lazima wafikiri mara tatu kabla ya kutoa uamuzi ambao kesho wanaweza wakajikuta wanasimama kwenye mahakama ya mafisadi.
Edward Lowassa wakati akiwa CCM alikuwa zaidi ya taasisi lakini kwa sasa umekuwa kama samaki aliyetolewa ndani ya maji.
Miaka ya nyuma haikuweza kuingia akilini kama Nyumba ya Kaka yake na Edward Lowassa inaweza kuvunjwa kwa sababu imejengwa kinyume cha sheria kwenye njia ya kupitishia maji.
Miaka ya nyuma haikuweza kuingia akilini kama mme wa mtoto wa Edward Lowassa anaweza kuwekwa gerezani/mahabusu kwa siku hata moja.
Ama kweli money is not everything!