msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
inaelekea unajirahisi
kama unajirahisisha hawawezi kukuacha iseeKwakweli kama kuna kitu ambacho ni kero ya mazoea ya wafanyakazi katika ofisi, yani kama mimi ofisini utakuta mtu anakuita beb, mara amekukumbatia, mwungine anakushika shika tuu...
Jamani najua watu wengi watakuwa wanakutana na hizi kero, wakati mwingine mpaka kiss unapigwa...isitoshe mimi ni mke wa mtu..nachukia sana.
Wakuu hivi na nyinyi mnakutana na hii kero?