The Government has banned mining of Tanzanite and its trade in Loita. Narok County Commissioner Moffat Kangi (right) said miners had been operating without licences, while unscrupulous businessmen sell the ornamental minerals to 'black markets' in neighbouring Tanzania. "It has come to our attention that the mining activities behind the Government's back. I hereby order that they stop the mining until they get mining licences from the relevant authorities for the purposes of royalties to the county and national governments," said Mr Kangi.
Narok Governor Samuel Ole Tunai sharing a word with Narok County Commissioner Moffat Kangi during the Madaraka Day Celebrations at Maasai Mara University grounds. Kangi (right) says miners have been operating without licences, while unscrupulous businessmen sell the ornamental minerals to 'black markets' in neighbouring Tanzania.
The commissioner urged the police to arrest any person found mining. Tanzanite Gemstones which are either blue or violet were discovered in Mererani Hills, Manyara in Northern Tanzania in 1967. He called for a crackdown on illicit brews being ferried from neighbouring counties.
"I am instructing the police in Transmara-Kisii road to ensure that there is no transit of the illicit liquor to Nairobi through our roads," said Kangi.
Source: Standard Media
Kenya wana Tanzanite? How? That ornament mineral, if exists, should be Kenyanite or something else but not Tanzanite. Ni yale yale ya Mlima Kilimanjaro uko Kenya chezeni na hawa jamaa.
Tanzanite in Kenya, Leo hii?Acha kupaniki, Tanzanite ni jina la madini ambayo yanapatikana chini ya ardhi yenye sifa na tabia fulani hivyo madini yoyote yale yenye sifa na tabia kama za tanzanite yataitwa tanzanite na haijalishi yanapatikna wapi, kwa maana ndiyo jina lake lilipopewa na aliyegundua hayo madini ni kama vile Dhahabu, Shaba, Tungsten, Germanium n.k sasa unashngaa Kenya, Pakistani pia kuna madini ya tanzanite na wanachimba na kuuza!
Tofauti hapa ni kwamba ni nani aligundua kwanza kama yangenduliwa kwanza huko Narok na yakaitwa Narok... hata sisi leo hii Mererani tusingeyaita tanzanite bali tungeyaita Narok ni rahisi kihivyo tu!
Tanzanite in Kenya, Leo hii?
Haya
Naona unalazimisha watu wote tuelewe wewe unavyofikiri, bado hujanishawishi kuamini unacholazimisha tuaminiMbona wewe ni mgumu kuelewa hivyo? Tanzanite ni aina ya madini yaliyoko chini ardhi, huko chini hakuna mipaka ya nchi, miamba haijui Kenya wala TZ hivyo madini yaliyoko TZ yatakosakanaje Kenya wakati tunashea mpaka?
Siko kwenye jina. Nielewe.Mbona wewe ni mgumu kuelewa hivyo? Tanzanite ni aina ya madini yaliyoko chini ardhi, huko chini hakuna mipaka ya nchi, miamba haijui Kenya wala TZ hivyo madini yaliyoko TZ yatakosakanaje Kenya wakati tunashea mpaka?
Siko kwenye jina. Nielewe.
Kwahiyo kama tuna-share mipaka lazima Tanzanite itapatikana Kenya kwa mujibu wa maelezo yako.
Vipi huko Pakistan uliposema
Sijamaanisha kwamba jina Tanzanite ni kwa sababu ya nchi Tanzania.Ila uko kwenye nini hauko kwenye jina? Au tatizo lako ni lipi hasa embu fafanua, kama ukipenda!
CC nyang'auKenya wana Tanzanite? How? That ornament mineral, if exists, should be Kenyanite or something else but not Tanzanite. Ni yale yale ya Mlima Kilimanjaro uko Kenya chezeni na hawa jamaa.
ya kenya inaitwa KENYANITE ya Tanzania inaitwa TANZANITE huoni tofauti; JiongezeSerikali ya Kenya imepiga marufuku uchimbaji wa madini ya Tanzanite na biashara yake Loita, kamishna wa Narok amesema wachimbaji walikuwa wanachimba bila vibali na wafanyabiashara wasio waaminifu walikuwa wanaziuza kiharamu nchini Tanzania.
=========
Kuna watu wakiona hii habari watachanganyikiwa, kila siku huwa nasema nchi yetu haina upekee wowote ule kila tulicho nacho wengine pia wanacho tumelishwa propaganda miaka yote kwamba nchi yetu ni tajiri Afrika nzima, haya Kenya nao kumbe wana Tanzanite habari hiyo hapo chini!
Kila nchi ina Rasilimali na siyo nchi yetu tu, tofauti ni jinsi unavyoitumia hiyo Rasilimali kujinufaisha!
Vizuri sana mkuu,Acha kupaniki, Tanzanite ni jina la madini ambayo yanapatikana chini ya ardhi yenye sifa na tabia fulani hivyo madini yoyote yale yenye sifa na tabia kama za tanzanite yataitwa tanzanite na haijalishi yanapatikna wapi, kwa maana ndiyo jina lake lilipopewa na aliyegundua hayo madini ni kama vile Dhahabu, Shaba, Tungsten, Germanium n.k sasa unashngaa Kenya, Pakistani pia kuna madini ya tanzanite na wanachimba na kuuza!
Tofauti hapa ni kwamba ni nani aligundua kwanza kama yangenduliwa kwanza huko Narok na yakaitwa Narok... hata sisi leo hii Mererani tusingeyaita tanzanite bali tungeyaita Narok ni rahisi kihivyo tu!
ya kenya inaitwa KENYANITE ya Tanzania inaitwa TANZANITE huoni tofauti; Jiongeze