Kenya: Serikali yatangaza kuwepo kwa njaa

Imetangaza njaa, na imeweka mikakati ya kukabiliana na njaa.

Tangazo hili limetangaza na wizara muhimu zote kwa pamoja, wizara inayoshughurikia chakula, maji, afya na hazina.

Ni vyema kuwaeleza wanachi ukweli, ili wajiaandae.

.............
Huku kwetu MKUU WA MKOA NAPIGWA MKWALA, MWANANCHI UNA PIGWA BITI NA MKUU NCHI, MKOA NA WILAYA........

MUmwambie TUNASUBILI viwandaaaa....
 
Salama wa kuu....

Nipo naangalia NTV, Serkali ya Kenya inatangaza kuwepo kwa ukame na upungufu wa chakula katika eneo kubwa la nchi. Inatoa takwimu muhimu juu ya chakula kilichopo na jitihada za serkali kutatua tatizo.

............
BADO KWETU
Hamia huko si unapenda njaa.
 
Watasema Kenya wanamuhujumu Magu na kuna mkono wa Lowassa.
Yaani mkuu huwa najiuliza sana hawa wanao mtetea kwa haya afanyayo sasa ni kutawaliwa na ujinga au upoyoyo?
Maana kama ni Watanzania wanadharau mambo mazito hivi kwa wananchi utadhani ndugu na jamaa zao wote wanaishi New York kumbe wako huko Nanjilinji na shida na mashaka matupu.
Jee hawana huruma na ndugu hata kama wao wana maisha mazuri?
 
Hawa ni wabinafsi na wanatumikia matumbo yao na ya wanaowatuma.
 
Vile vile atakapofanya vizur tumpongeze pia
Kupongezwa sio lazima, kwani kama unamtumishi wako na unamlipa vizuri unategemea nini kama sio utendaji mzuri?
Rais ni mtumishi wetu na tunamlipa na kumtunza vizuri yeye na familia yake kuliko mtu yeyote sasa kupongezwa pongezwa kama vile anajitolea ya nini?
 
Njaa ilikuwepo juzi na hadi jana ilikuwa imeisha. labda ije tena kesho maana leo jua ni kali sana.
 
Salama wa kuu....

Nipo naangalia NTV, Serkali ya Kenya inatangaza kuwepo kwa ukame na upungufu wa chakula katika eneo kubwa la nchi. Inatoa takwimu muhimu juu ya chakula kilichopo na jitihada za serkali kutatua tatizo.

............
BADO KWETU
Ni mwaka gani Kenya haijawahi kuwa tegemezi kwa chakula? Hicho kichwa tumia kufikiri. Si kila linalotokea Kenya linatokea Tanzania pia. Be original kuliko kuigaiga, na hili ndilo linawafanya wakenye watuone malofa!
 
Kwa Kenya kuwa na uhaba wa chakula ni suala la kawaida, watz tunapenda sana siasa mufilisi. Tz ni mvua ni mvua za vuli zimechelewa au zimegoma baadhi ya sehemu, tuna hatari ya baa la njaa na sio tuna baa la njaa. Kama mvua zingenyesha ktk hali ya kawaida bado mazao yangekuwa shambani hadi leo inashangaza mtu kulia njaa saivi.
 
Salama wa kuu....

Nipo naangalia NTV, Serkali ya Kenya inatangaza kuwepo kwa ukame na upungufu wa chakula katika eneo kubwa la nchi. Inatoa takwimu muhimu juu ya chakula kilichopo na jitihada za serkali kutatua tatizo.

............
BADO KWETU
Sasa hiyo ni njaa au upungufu wa chakula? Tofautisha njaa na upungufu wa chakula.
 
Wametangaza njaa jombaa...

Ni Janga hili. Si la kufumbia macho...

Sema sisi tuna kiburi kwa kuwa tuna Faru John, hatutakufa njaa.
Hatufi njaa sab tuna mchele kubao mtama kibao maharage kibao njugu kibao uwele kibao karanga kibao na mihogo kibao viazi mbatata na vitamu kibao tuna upungufu wa mahindi tu. Sasa tutakufaje njaa kwani wanaopenda ugali hawawezi kula hivyo vyakula vingine kwa kipindi kifupi?
 
Back
Top Bottom