Kauli ya Bulembo; CCM yashtuka na Kuvizuia Vyombo vya Habari Kuirudia

Mh.Bulembo ni mmoja wa watu smart sana kuliko unavyofikiria,pengine kuliko maprofesa wengi unaowajua! Kama amesema alichosema basi atakuwa anaelewa kwanini anasema hayo na ninaamini hasemi kwa kujipendekeza ila ndiyo ukweli anaouamini!
Na Gwajima?
 
Mkuu rudi nyumbani, inatosha kufanya hiyo shughuli huko
hahaha. Mkuu nyumbani nitarud kuish 2020 na ndio mwisho wa kubeba boksi. Kwasasa acha nizichange baada ya 2020 ulaya ntakuwa nakuja kutalii na mapumziko.

Nikuulize tu Mkuu nikurud nyumbani sasa hiv nitafanya nini? Elim yang ni ndogo. Na biashara sitak kurisk Kwasasa. Si bora niendelee kubeba boks na kupata 51,000 tzs kwa saa.

Bongo kwa sasa hiv ni kuja likizo kula bata nakutandaza miti baas
 
YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE MWENYEWE.
NGOJA WANYUKANE ALAFU TUONE MWISHO WAKE.
TATIZO MKWERE ANAPENDA SANA TITLES, INGEKUWA NI MAGUFULI NDO AMEMALIZA MUDA WAKE, ANGESHAKABIDHI TAYARI.
 
Bulembo sio smart hata kidogo, uliza hata ndani ya chama chao ni mropokaji na sababu ya kupewa umeneja wa Kampeni na Jpm ni wa vile hana elimu na hawezi kuhoji na ndio jambo analotaka mkulu.
Waulize Mwigulu na February mchanganyo ndani ya ile timu ya 80 ulianza kwa nini? Utaujua ukweli
Mtashangaa ndio anakuwa katibu mkuu wa chama.!
 
Mh.Bulembo ni mmoja wa watu smart sana kuliko unavyofikiria,pengine kuliko maprofesa wengi unaowajua! Kama amesema alichosema basi atakuwa anaelewa kwanini anasema hayo na ninaamini hasemi kwa kujipendekeza ila ndiyo ukweli anaouamini!
Kwa hiyo na Gwajima naye ni smart, maana tunaambiwa hapa naye aliyasema hayo hayo...au?
 
Aah! Udikteta umekuja awamu ya tano siyo?? - Mbona awamu za nyuma hakuna aliyepinga Rais kushikiria kofia ya chama Tawala mlikuwa kimya kabisa - tulii kama maji kwenye mtungi - kuingia Dk.Magufuli madarakaki ndio mnataka kumjengea mizengwe ili asisimamie CHAMA tawala ili muendeleze mambo yenu kama kawa.

Narudia kuwa hoji tena - kwa nini mnaogopa Dk.Magufuli kusimamia Chama tawala, mmefungia skeleton gani kwenye closet zenu ambazo zinawatia wasi wasi zisijulikane kwa Watanzania wenzenu - hicho ndicho kinacho endelea hapa - oh yes, a dirty campein in the making.
Ambao hawataki ashike chama ni walio ndani ya chama au nje??
 
Aah! Udikteta umekuja awamu ya tano siyo?? - Mbona awamu za nyuma hakuna aliyepinga Rais kushikiria kofia ya chama Tawala mlikuwa kimya kabisa - tulii kama maji kwenye mtungi - kuingia Dk.Magufuli madarakaki ndio mnataka kumjengea mizengwe ili asisimamie CHAMA tawala ili muendeleze mambo yenu kama kawa.

Narudia kuwa hoji tena - kwa nini mnaogopa Dk.Magufuli kusimamia Chama tawala, mmefungia skeleton gani kwenye closet zenu ambazo zinawatia wasi wasi zisijulikane kwa Watanzania wenzenu - hicho ndicho kinacho endelea hapa - oh yes, a dirty campein in the making.
Ukiwa na akili angalau kidogo, utagundua nani ana wasi wasi nchi hii...nimesema ukiwa na akili.
 
Na Gwajima?
my role model
Kauli ya Abdalla Bulembo iliyoonekana katika Television jana kuwa Mhe Magufuli awafukuze chamani wale wanaopinga yeye kuwa Mwenyekiti na ikapokewa kwa mjadala mkubwa kwenye mitandao ya jamii imezua tafrani ndani ya ccm.
Imebidi juhudi za ziada zifanyike ili vyombo vya habari magazeti na radio yasirudie tena kutangaza ushauri huo wa Bulembo kwani hauna tofauti na aliosema Gwajima na pia unakigawa chama vipande hasa kwa vile wanaompinga ni kundi lenye nguvu na ushawishi mkubwa ndani ya chama.
Nawapongeza kitengo chao kwa kuwa na hatua za haraka, na mambo mengine wangekuwa na speed hii ingekuwa safi.
Ila Bulembo kujipendekeza kwake kwa mbinu hiyo (kukosa elimu kunachangia) kutawavuruga sana

Mh.Bulembo ni mmoja wa watu smart sana kuliko unavyofikiria,pengine kuliko maprofesa wengi unaowajua! Kama amesema alichosema basi atakuwa anaelewa kwanini anasema hayo na ninaamini hasemi kwa kujipendekeza ila ndiyo ukweli anaouamini!
 
Mh.Bulembo ni mmoja wa watu smart sana kuliko unavyofikiria,pengine kuliko maprofesa wengi unaowajua! Kama amesema alichosema basi atakuwa anaelewa kwanini anasema hayo na ninaamini hasemi kwa kujipendekeza ila ndiyo ukweli anaouamini!
nakumbuka ile kauli ya kigoma kipindi cha kampeni kuwa upinzani ubebe ubunge viti vyooote lakini kwa urais hata wafanyeje hawataweza waruhusu kuingia ikulu, ile kauli ilikuwa ni mbaya sana na ingeweza leta figisu figisu ndani ya nchi, lakini walimnyamazia
 
"Ee Mungu,pigana nao wanao pigana nami" hakika mungu anapigana na wanao pigana na gwaj mah
 
Mkuu Chakaza;
Nadhani umewavua watu nguo hapa. Unapowauliza umuhimu wa kukusanya watu pale Dodoma kwa masiku kadhaa kwa ajili ya kumtangaza m/kiti ambaye hata msingelienda angetangazwa tu. Jambo hilo limewaumiza kweli kweli. Wanasema wanaenda kumchagua aliyekwisha chaguliwa tiyari. Utamchaguaje aliye tiyari kwenye kiti??
Huu ni ufujaji wa mali za chama hivyo wale wenye access na hayo mahela wanayahalalisha kuwa yametumika vizuri. Badala ya kujidhihirisha kuwa wababe, this tyme, CCM mngelichukulia tu nafasi hii kumuunga mkono rais kuwa ni marufuku kufanya mikutano ya kisiasa hata ile ya kwenda ku rubber stamp m/kiti.
Watu wangewaelewa vizuri sana kuwa hata nyiye mlimpitisha m/kiti kimya kimya.
 
Aah! Udikteta umekuja awamu ya tano siyo?? - Mbona awamu za nyuma hakuna aliyepinga Rais kushikiria kofia ya chama Tawala mlikuwa kimya kabisa - tulii kama maji kwenye mtungi - kuingia Dk.Magufuli madarakaki ndio mnataka kumjengea mizengwe ili asisimamie CHAMA tawala ili muendeleze mambo yenu kama kawa.

Narudia kuwa hoji tena - kwa nini mnaogopa Dk.Magufuli kusimamia Chama tawala, mmefungia skeleton gani kwenye closet zenu ambazo zinawatia wasi wasi zisijulikane kwa Watanzania wenzenu - hicho ndicho kinacho endelea hapa - oh yes, a dirty campaign in the making.
Tuwaulize nyie maCCM mnaomwekea zengwe rais wenu asiwe mwenyekiti wa chama chenu
 
Back
Top Bottom