Katuni ya Kipanya na MCC

Kwa hiyo Nchi yetu ni nyumba ya kahaba?
Hii katuni inalidhalilisha Taifa letu na kwa ufupi
imechorwa kwa kutokufuata maadili yetu hata kama ni hivyo
lakini si sawa kuichora nchi kama nyumba ya kahaba.
Huu ni uhuni kama uhuni mwingine na pengine wazo lake
alilitengeza akiwa hayuko timamu.
 
Back
Top Bottom