Katuni ya Kipanya na MCC

huyu Kipanya wenye kushika utamu inabidi wamu-Ayoub Riobishwe huyu....
 
Yaani hapa utawajua manyumbu, misaada ya Marekana hawataki ila wanataka ya China na Japan yaani ni vichekesho
 
Kumbe mtu mbaya ni MCC tu ndiye aliyefanya tuimbe kujitegemea, hao wengine kutoa msaada ni safi......
Mkuu akili zetu zina elimu ya kujitosheleza kuhusu misaada. Hata rais anaomba msaada kwa Mungu. Pamoja na wizi wa wachina bado tunawaomba misaada ili waendelee kutuibia. Wamarekani kuna walichokipata na misaada ya MCC ndiyo maana wanavyokikosa wanatutosa.

MSAADA MKUBWA NI KUTUMIA AKILI ZETU. LAZIMA TUSHUKURU MCC MAANA TUMEANZA KUFIKIRIA KUJITEGEMEA JANGA LETU NI WATAWALA WETU HAWAJUI TIJA YA KUFIKIRI NDIYO MAANA ZIDUMU FIKIRA ZA CHAMA KILELE CHA KUOMBA MISAADA.
 
Back
Top Bottom