Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,912
- 13,230
Anawapa namba ipi, ya voda au airtel au tigo
Naona vidume vinapangwa...
Kwani ulikuwa hujui?? Bwana wa Kimarekani kakata Huduma, juzi tume date mwanaume wa Kuwait, Jana Mchina, Leo bwana wa Kispanyola. Bado bwana wa kitaliano Na Kifaransa.sijaipenda. Kwa hiyo Tz ni sehemu ya kupumzikia tu, jamvi la wageni
Hau mmesahau juzi mlikuwa mnataka mnunulie Airbus Na Boeing. Mama yanu kaagiza Bombardier mnasema ndogo haiwatoshi.sijaipenda. Kwa hiyo Tz ni sehemu ya kupumzikia tu, jamvi la wageni
Akitoka mchina sijui anakuja nanidu naona mchina nae anasubiria aingie agonge fasta then asepe