Katoa mimba yangu naomba msaada wa kisheria

Baba David

Member
Jun 21, 2022
65
99
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).

Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina uhakika ilitoka kweli au alitoa.

Nafikiri kwenda mahakamani kuiomba mahakama iombe taarifa kutoka hosp iliyomhudumia (amesema alikwenda hosp ya serikali) ili nijiridhishe kutoka kwa wataalamu waliomuhudumia kama kweli mimba ilitoka au alifanya abortion. Ikiwa alifanya abortion nakusudia kumshitaki.

Naomba msaada wa mawazo yenu nijue namna ya kushughulika na hili swala.
 
Eti huyu naye ni Mwanaume! Mkuu haupo sawa Upstair kwa uchache wa maelezo yako tu hapo juu. Mwanamke siyo incubator yako ya kwenda kutotoleshea mayai yako, lkn pia inaonyesha dhahiri uwajibikaji wako kama baba ni kipengele.
Huna haja ya kulalamika Oa mke wa ndoa Mzalishe upendavyo
 
Ni mama pekee ndie anayejua baba wa mtoto.

Wewe unaonekana mwanaume katili sana na usiye na utu... Mtu anakwambia mimba ilitoka badala hata ya kumhurumia afya yake, wewe unawaza mambo ya mahakama as if ulimkodisha ili tu akuzalie.

Mimba ilitoka mwezi wa 9, ndio unakuja kujua mwezi wa 12 mmh, hata huko mahakamani watakushangaa
 
Back
Top Bottom