Fabian the Jr JF-Expert Member Aug 4, 2012 756 743 Mar 27, 2017 #1 Wadau nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza huu wimbo wa huyu jamaa, Ki ukweli ni booonge la wimbo na Jamaa atapata show nyingi sana kwa huu wimbo ila sielewi maudhui yae hasa ni nini. Inasemekana ni kweli jamaa anamuimbia ndugu yetu Nape?
Wadau nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza huu wimbo wa huyu jamaa, Ki ukweli ni booonge la wimbo na Jamaa atapata show nyingi sana kwa huu wimbo ila sielewi maudhui yae hasa ni nini. Inasemekana ni kweli jamaa anamuimbia ndugu yetu Nape?
Fabian the Jr JF-Expert Member Aug 4, 2012 756 743 Mar 27, 2017 Thread starter #3 b5-click said: Weka hapa kabla haujafungiwa Click to expand... Link hii hapa chief nimeona jamaaa kauweka Youtube:
b5-click said: Weka hapa kabla haujafungiwa Click to expand... Link hii hapa chief nimeona jamaaa kauweka Youtube: