Kati ya mfumo wa Ukomunisti/ ujamaa na ubepari mfumo gani undugu unawatala zaidi?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
45,290
63,708
Huwa naona watu wengi wananasibisha ujamaa na undugu, upendo pamoja na raia kujaliana huku wakinasibisha ubepari na kutokojaliana na ukatili.

Haya yanaweza kuwa mawazo potofu sana ukifuatilia jinsi Ukomunisti/ujamaa ulivyotenda ukatili mkubwa sana huko China, Russia, Cambodia, Romania, Vietnam na Korea Kaskazini.
 
Back
Top Bottom