nra2303
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 2,975
- 2,547
Kuna watu wanasema Uyu jamaa anamtegemea Magu 100% kwa kila maamuzi yake na hata maswali ya papo hapo mara nyingi anachemka sasa hii ni udhibitisho tosha! Kwa kivipi hatufanyi kazi? Watz wangapi hawana kazi na wafanyeje sasa?si bora wangeangalia Bunge live kuliko kukaa vijiweni?? Kwani Bunge linaonyeshwa siku nzima au mwaka mzima! Hii ni hoja dhaifu mmno