Kasi ya Kassimu imekwenda wapi?

Mabasi yaendayo kasi alisema amewapa muda hadi january ngapi vile sikumbuki na je imefika au bado?
Ahsanta
January ziko nyingi eti. Hivi alitaja kuwa ni January ya mwaka huu? Mie hata sikumbuki. Kipindi hicho matukio yalikuwa mengi hata kufuatilia na ku-document ilikuwa tabu ati... lets wait and see...
 
January ziko nyingi eti. Hivi alitaja kuwa ni January ya mwaka huu? Mie hata sikumbuki. Kipindi hicho matukio yalikuwa mengi hata kufuatilia na ku-document ilikuwa tabu ati... lets wait and see...
Ya mwaka huu kama sikosei ilkuwa 15
 
Hua naogopa sana uongozi wa juu ukikosa combination ya Mchumi, Mwanasheria na Mwana Diplomasia. Combination ya hizi fani zikikosekana ndani ya ukuta wa Ikulu, huenda logical reasoning ikawa ma shida kidogo.
 
Mkuu embu andika kichwa cha habar kilichokamilika nilidhni kassim dewji bana au kassim kondacta mmoja wa mwwnge-buguruni
 
Kwa hiyo ulitaka atoke Mtwara ambako amepewa hayo malalamiko na kwenda Dar kumjulisha waziri ambaye yupo chini yake? Alafu unajiita GT!
Waziri mkuu alikuwa na haraka gani ya kukurupuka , angeweza kumuagiza waziri husika kushughulikia swala hilo kwa umakini zaidi kufahamu ukweli.

Hii ndo serikali ya bongo movie, mtumishi anasimamishwa kwa media anarudishwa kimyamya
 
Walijipa kazi ya kutumbua majipu wakajikuta wametumbua misuli sasa mmoja kachoka kaenda likizo kabla hata ya mwaka.
 
Mabasi yaendayo kasi alisema amewapa muda hadi january ngapi vile sikumbuki na je imefika au bado?
Ahsanta
Daktari kutoka Mtwara alimsimamisha kazi hadharani, akampa kazi katibu tawala wa mkoa achunguze dokta kaonekana hana hatia karudi kazi kimyakimya, majaliwa hajalitolea tamko kabisa, serikali ya vigelegele wanachojisikia ufahari ni kushangiliwa na wananchi bila kujali wanawahudumia vipi.
 
wewe ulitakaje?
 
wewe ulitakaje?
Aliemfukuza kazi hadarani arudi hadharani awaambie kamrudisha tena kazini alimfukuza kwa makosa, kujisalimisha kwa wananchi kuwaeleza ukweli ndio utendaji bora, sio kula kona.
 
Kasi ya Waziri Mkuu Dr. Kassimu Majaliwa imekwenda wapi? Majipu yamekwisha? TAMISEMI ipo chini ya ofisi yake, mbona hakujaguswa kabisa?

Kuna ishu ya shule za binafsi kupangiwa viwango vya kutoza ada, kuna ishu ya Wakuu wa Shule ambao walikaimishwa shule za msingi na Sekondari huku hawana uwezo wala sifa za kuongoza shule hizo.

Wakuu hao huzuga na somo moja la kufundisha kama kiswahili ama lile somo la kufundisha kupiga pasi ila ukiangalia vyeti walivyo navyo utakuta wengine ni vya mgambo na hawajajiendeleza.

Kuna ishu za bodi za shule zilizojaa wanasiasa na wachungaji ambao hawana muda wa kuangalia shule hizo wala kushauri ama kuwajibisha. Ingefaa katika bodi kuwe na wajumbe wawili ama watatu ambao ni wanajeshi waliostaafu ama wanakaribia kustaafu ili kulinda nidhamu hasa kwa shule zile kubwa.

Shule hizo zimejaa wakuu wa shule ambao ni majipu kwakuwa waliwekwa kisiasa na wanasiasa ili wapenyezee huko mambo yao. Hawa ndio chanzo cha matokeo mabaya. Ni vema vigezo vya taaluma ya ualimu vikazingatiwa kwa kila shule hasa kwa Wakuu wa Shule. Hivi mkuu wa shule ambaye ana certificate ataongoza vipi shule
Yuko mapumuziko kidogo
 
Aliemfukuza kazi hadarani arudi hadharani awaambie kamrudisha tena kazini alimfukuza kwa makosa, kujisalimisha kwa wananchi kuwaeleza ukweli ndio utendaji bora, sio kula kona.
sawa, ni mawazo yako. Kuwa PM siyo sawa na kuwa baba mwenye nyumba. Hapo ni cheo kilifanya kazi na PM ni taasis wana utaratibu wao. Baba mwenye nyumba akimtandika housegal kibao ndo anaweza akafanya hivyo.
 
Itakua keshazoea ofisi,kawaida mtu ukipata kitukipya unakuwa na munkari badae kwawengi unapunguaga...
Hâta mwazoni wapenzi hukesha bedini lakini wakizoeana aah...kwachati tu nahii ni kwawengi. Magu boy naye atatulia mda si mwingi namambo yatakuwa normal

Halafu watu wataendelea kupiga pesa...?
 
Waziri mkuu alikuwa na haraka gani ya kukurupuka , angeweza kumuagiza waziri husika kushughulikia swala hilo kwa umakini zaidi kufahamu ukweli.

Hii ndo serikali ya bongo movie, mtumishi anasimamishwa kwa media anarudishwa kimyamya
Wewe ni wale wale. Yeye ni Waziri Mkuu. Ni Mkuu wa mawaziri wote. Kama ameona kitu kimeenda ndivyo sivyo unataka asubiri tena? PM Pinda kipindi kile alishindwa kumchukulia hatua Jairo kwa madai ya kusubiri uamuzi wa JK. Katika awamu hii unategemea Majaliwa amsubiri waziri ndiye achukue hatua? Majaliwa alimsimamisha na kuvitaka vyombo husika kufuatilia sakata lile ili haki itendeke. Hauwezi kufanya uchunguzi wakati mhusika anadunda mzigo, ndiyo utaratibu wa serikali!
 
Nilikua na suala kama hili kichwani mwangu jana dahh yuko wapi mzee wa bandari
 
Kila wizara imeshapata waziri wake ambaye anaweza kutumbua majipu katika sekta yake! Magufuli na Majaliwa mwanzoni walikuwa wanatumbua majipu kwavile serikali ilikuwa haijakamilika. Ndiyo maana sasa hivi mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya wanakamua majipu katika maeneo yao! Naona mada za MCC, U meya dar, mashahara wa Magu, nyumba ya Magu zimedoda zinatafutwa zingine! Kesho au leo jioni Mada ambayo itakuwa kimbilio la UKIWA ni U meya Tanga!

sio kweli mkuu, PM alipokwenda bandarini kwa Mara ya pili...Mhongo alikuwa waziri na hata yule mama alimwambia kuwa alipokea Meseji kutoka kwa Waziri...

sasa unaposema kuwa alikuwa akitumbua majipu kabla ya kuteua baraza la mawaziri..sio kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom