Kariakoo soft (ku-unlock simu aina zote buree)

KWA WALIO TUMA IMEI NUMBER TAFADHALI NAOMBENI MRUDIENI KWA MFAMO NILIOWAELEKEZA HAPO JUU TAFADHALI
 
NDIO NIMEIONA NLIKUWA NAISHUGULIKIA LAKN HII SIM YAKO INAHITAJ DIRECK UNLOCK KWA SABABU SIGMA BOX YANGU HAITOI UNLOCK CODE ZA HIYO NOKIA YAKO
Mkuu tuelekeze jinsi ya kufanya hio direct unlock.
 
MKUU YANGU NOKIA LUMIA 530
MODEL;RM-976
Made in china FCC ID;PDNRM-976
CODE;059W026
IMEI; 353038063139250 NI BAADHI YA MAELEZO BAADA YA KUFUNGUA BETRI PLEASE MSAADA
NA
WEKA NAMBA YAKO TUKUFUATE HAPO KARIAKOO
 
BARUTIRASHID
TAFADHALI NAOMBA UANDIKE MODEL NAMBA YA SIMU YAKO KWA VF 785 AU VF685
 
ANGALIA NAMBA KAMA HII NYUMA YA SIMU YAKO YA VODAFONE V685-2AVDTZ1 HAPO UTANIRAHISIHISHIA KUWEZA KUUNLOCK SIM YAKO
 
NA KUHUSU KUUNLOCK SIMU DIRECT NI KWA KUTUMIA BOX YENYEWE NDO INAKUWEZESHA UUNLOCK HIYO SIMU YAKO KAMA MTAHITAJ.MAELEZO.ZAID MNAWEZA KUNIULIZA SWALI
 
HIYO SVN UMEKOSEA HUWA INAANZA NA TARAKIMU IKIFUATIWA NA HERUFI KWA MFANO V875-2BVDZR1 ZINAKUWA KATIKA MFUMO HUO NA CO SVN
 
KARIAKOO SOFT
CONQURER
KWA UPANDE WA HUAWEI INAHITAJ UNLOCK KWA KUTUMIA BOX KWA HIYO KAMA UPO DAR ES SALAAM UNAWEZA KUFKA OFCN KWETU KARIAKOO
 
Mkuu naomba unisaidie cm yangu ni Vodafone VF 695 V695-2AVDTZ1 IMEI 357773069719681 nahtaji unlock code??
 
JAMAN KWA LEO NIPO HAPA KUTOA UNLOCK CODE ZA NETWORK LOCK NAMAANISHA SIM AMBAZO ZINATUMIA LINE YA MTANDAO MMOJA 2
MIMI NAPATIKANA KARIAKOO
GUYS NI MUDA MUAFAKA WA KUTUMIA HII CHANZE MNAKARIBISWA WOTE

Alcatel onetouch 1050G
E 011 01 IPY
1050G-3AVDTZ1
imei: 352416072607312
imelokiwa na voda
 
vip modem una unlock pia? modem yangu ni hizi za tgo ya 4g
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…