Ukipita kariakoo mitaa mingi majenereta yanawaka umeme mchana haupo usiku wakishafunga maduka ndio unarejea kama sio mchezo huu ni nini
Kariakoo ni moja ya sehem ambayo inayochangia kodi ya Taifa sasa inakuwaje mtaani huko umeme upo wafanyabiashara hapa wanaishi na majenereta shida iko wapi
Mmejenga bwawa kunwa kwa mabilioni alafu sehem kubwa kma kariakoo mnawakatia watu umeme kiholela