Inaboa sana kupotezeana muda basi tu!
Wakati mwingine watawala mnachangia sana umasikini.
Kauli ya mkuu wa mkoa kufunga biashara hadi saa 4 kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa kisingizio cha kufanya usafi inatia hasira sana!l.
Ebu jiulize kila fremu Kariakoo huwa inatoa elfu 40,000/= kwa ajili ya kulipia usafi wa jiji; lakini hakuna kiongozi yoyote aliyewahi kuhoji pesa zote hizo zinafanyaje kazi kuliweka jiji safi.
Pamoja na yote usafi wa mmoja mmoja hunafanyika kila siku. Pia hakuna fremu ambayo ina eneo kubwa mbele la kusafisha masaa 4.
Na ndiyo maana watu hutumia mda huo kukaa tu nje kupiga story kungonjea mda wa kufungua ufike.
Mliokaribu na mkuu wa mkoa mwambie anatutia hasara sana wafanyabiashara kwa kufunga maasaa 4 ambayo ni sawa na kupoteza siku mbili kwa mwaka.
Ikiwa duka linauza 10mil kwa siku, maana yake kwa mwaka duka kama hili linapata hasara ya 20mil.
Inakera sana. Ikumbukwe hapo mtu unalipa mishahara wafanyakazi, unalipa TRA, unalipa manispaa, unalipa USAFI, unalipia pango, unalipia maji, unalipia umeme, unalipia ushuru wa ulinzi n.k HALAFU UNAAMBIWA USIFUNGUE HADI SAA NNE!
Inaboa sana, HAPA KAZI TU sijui mlimaanisha kazi gani.