Karata Pekee Kwa CHADEMA Kwa Sasa!

Yaani huyu mleta uzi kama ulifika mpka chuo.. Jihesabu kua uwezo ni moja kati ya watu wenye uwezo mdogo sanaaah wa kufikiri.

Halafu huko chuoni unakuta alifundishwa na yule mkuu wa mkoa mwenye Phd aliyekosa ukuu wa mkoa akaomba sana asaidiwe kwani hapa pa kushika maana familia yake ni maskini sana.
 
Mtoa mada mm binafsi nimekuelewa,ni kwwli inashangaza sana kuona chadema wamekuwa wapinzani hata ktk maswala ya maendeleo ktk nchi yanayofanywa na magufuli na wamekuwa wa kwanza kushangilia pale panapotokea failures,yaan ckutegemeaga kama chadema itakuja kufikia hapa kwa kweli.
 
Baada ya kuizika rasmi Ajenda/karata ya ufisadi hasa pale walipomsafisha na kumkumbatia mhanga mkuu wa ufisadi Mr Edward Lowassa karata pekee iliyobaki ni ku-sympathise na Wazanzibari hasa kuhusu suala la Muungano!
CUF ni wapinzani wakuu wa Muungano, kwa hiyo wamepata mwenza huku Bara!
CHADEMA hawana mpango na kutawala nchi kwa sasa kwa kuwa wana lengo la kugawa nchi! Kazi yao ni kushangilia failures huku kukiwa na success wako kimya kama wamemwagiwa maji.
Anayofanya Magufuli mazuri wako kimya, limekuja la MCC eti ndo wanatoa tamko!
Kama upinzani ni kupinga tu basi watabaki wapinzani milele! Endeleeni na kick yenu ya kuwapa joto Wazenj!
Hivi wewe si ni moderator humu!? Sijui JF walitumia vigezo gani!
 
Nitajie MTU mmoja tu anayepambana Na ufisadi !,

Haijawahi Na Haitatokea iwe agenda ya Ccm Na seeikali yake

Hakuna Zaidi ya kutipua majipu !!!

AgeNDA ya kupinga Ufisadi bado ni sehemu ya chadema Na ukawa na upinzani kwa ujumla !

Ichaguzi wa marudio ni Ufisadi tosha wakati mshindi di anajulikana Na wawakilishi wote wamasahpewa vyeti
 
Baada ya kuizika rasmi Ajenda/karata ya ufisadi hasa pale walipomsafisha na kumkumbatia mhanga mkuu wa ufisadi Mr Edward Lowassa karata pekee iliyobaki ni ku-sympathise na Wazanzibari hasa kuhusu suala la Muungano!
CUF ni wapinzani wakuu wa Muungano, kwa hiyo wamepata mwenza huku Bara!
CHADEMA hawana mpango na kutawala nchi kwa sasa kwa kuwa wana lengo la kugawa nchi! Kazi yao ni kushangilia failures huku kukiwa na success wako kimya kama wamemwagiwa maji.
Anayofanya Magufuli mazuri wako kimya, limekuja la MCC eti ndo wanatoa tamko!
Kama upinzani ni kupinga tu basi watabaki wapinzani milele! Endeleeni na kick yenu ya kuwapa joto Wazenj!

Hivi wewe ndiye uliyewahi kuwa mmoja wa "mod" wa jf au nakufananisha?Kama ndivyo,ndiyo maana hoja zote zilizokuwa zinaikosoa serikali ya ccm na washirika wake zilikuwa zinatoweka jukwaani mithiri ya wingu lililosukumwa na upepo mkali.

Nilifikiri uzoefu ulioupata kwa "kumoderate" hoja za maGT,ungetosha kukupa umahiri wa kuwa mjenzi mzuri wa hoja,kumbe ni kilaza wa kawaida kabisa.pole sana.
 
Ubaya wa wapinzani wanalaumu hawatoi suluhisho,Rais anaweza kufanyia kazi MAWAZO yao kama akiona yanajenga. Walaumu pia waipe serikali suruhu ili kuisaidia, Nchi hii ni yetu sote.
 
Ndio wabunge waliotuletea Chadema hao..!
upinzani tz unapiga hatua moja mbele halafu hatua hamsini nyuma, hakuna mtu serious atajinasibu na kundi hili, wana mambo ya ujanjaujanja mtupu. wanawaabudu wazungu sijawahi ona, wanatamani tutawaliwe tena na wazungu, mara mcc, icj cjui icc hata hawaongeleagi sijui sadec, eac wala body yoyote ya africa, wao na wazungu. twendeni na waafrika wenzetu.
 
Back
Top Bottom