Karagwe: Mkuu wa Wilaya kapotea na Maaskari zaidi ya 60 Pori la Kimisi

Nijambo lakuckitisha,ila ndo lile magufuli na uvccm wake walikua wakichamba ITV. Ss, mtulie kimya kwakua ni kosa kripoti habari ya wafugaji.ni uchochezi !hii ndo kila lifanywalo na wananchi wako unaona linakupinga ss,habari hii ichukulie form mwenyewe,uijazie mwenyewe,uitangaze nakuipamba utakavyo mwenyewe ili ITV actangze ucvyopenda mutukufu sana.
 
Heshima kwenu wakuu,

Kuna Mkuu wa Wilaya haonekani, inasemekana walienda kufukuza mifugo ilokuwa ndani ya hifadhi. Walienda leo, hadi sasa hawajarudi.

Nmepigiwa simu na mtu ambaye mawasiliano yake yanasumbua. Hadi sasa simu haipatikani.

Mwenye kupata details kuhusu hili swala atujuze.

Nadhani Moderators wataifanyia kazi.

Mimi nmeleta kapa Tip tu.

Habari zaidi ni kwamba, Zaidi ya askari 60 Mkuu wa Wilaya, maafisa wa Serikali na waandishi wa habari, wamepotea katika msitu wa Kimisi Wilaya ya Karagwe tangu saa nne Asubuhi katika operesheni ya kuondoa Mifugo.
Ki ukweli mapori huwa yanapoteza watu.mnaweza mkapotea uelekeo kama Hanna dira
 
Hao ni askari mgambo au sungusungu? Mwanajeshi gani anapotea kwenye kijipori kama cha Kimisi? Si watumie medani za kivita wapande kwenye mti waangalie milima na miji iliyokaribu? Serikali inaongozwa kwa kiki!
 
wale wafugaji wa kule siyo kama wale wa bonde la ihefu waliofukuzwa kiboya unawezakuta asubuhi tukaamka na habari tofauti!
 
Heshima kwenu wakuu,

Kuna Mkuu wa Wilaya haonekani, inasemekana walienda kufukuza mifugo ilokuwa ndani ya hifadhi. Walienda leo, hadi sasa hawajarudi.

Nmepigiwa simu na mtu ambaye mawasiliano yake yanasumbua. Hadi sasa simu haipatikani.

Mwenye kupata details kuhusu hili swala atujuze.

Nadhani Moderators wataifanyia kazi.

Mimi nmeleta kapa Tip tu.

Habari zaidi ni kwamba, Zaidi ya askari 60 Mkuu wa Wilaya, maafisa wa Serikali na waandishi wa habari, wamepotea katika msitu wa Kimisi Wilaya ya Karagwe tangu saa nne Asubuhi katika operesheni ya kuondoa Mifugo.
watusi watakua wamefanya yao maana mamilioni ya mifugo yao imejaa humo hawataki purukushani
 
Niliona kwenye taarifa ya habari ya ITV juzi kuwa operesheni hii ilikuwa ikiongozwa na JWTZ. Jeshi hawafanyi operesheni bila ya kujipanga na kuelewa eneo husika kwa ramani wakitumia vifaa. Sasa mkisema wamepotea inashangaza. Kwa wale waliofanya mafunzo ya kijeshi wanajua kuwa map reading ni topic muhimu kwenye mbinu za kijeshi.
 
Wamekutana na wakubwa wa msitu kama ekalipto dadekii.. Msitu una wenyewe .. Walijua wanaenda kumkatana Lisu au gwajima nini?
 
Unaingilia kazi za watu kwanza umejuaje? Na je walikuambia wakirudi wanakuletea zawadi au habari je kama operation niya wiki jifunze kukaa kimya ishu nyingine kama hizi utakuja fungwa bure au ng'olewa kucha
 
Back
Top Bottom